{"id":5755,"date":"2021-06-22T08:03:33","date_gmt":"2021-06-22T08:03:33","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=5755"},"modified":"2023-06-13T11:02:53","modified_gmt":"2023-06-13T11:02:53","slug":"maana-ya-miiqati-na-aina-zake","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/maana-ya-miiqati-na-aina-zake\/","title":{"rendered":"MAANA YA MIIQATI NA AINA ZAKE"},"content":{"rendered":"<h3><span style=\"color: #993300;\"><strong>MAANA YA MIIQATI NA AINA ZAKE<\/strong><\/span><\/h3>\n<p>Suali:\u00a0Ni nini maana ya Miiqaat (Nyakati)<br \/>\nJawabu:\u00a0Nyakati kilugha ni kuweka mpaka baina ya vitu viwili.<\/p>\n<p>Ama kwa istilahi ya sheria<br \/>\nNi mipaka iliyowekwa na sharia kwa ajili ya ibada na yawakati na Namahali.<\/p>\n<p><span style=\"color: #800000;\">AINA YA NYAKATI<\/span><\/p>\n<p>Kwanza: Nyakati za mahali<br \/>\nNyakati za mahali<br \/>\nNi sehemu zilizowekwa na Sheria kuhirimia kutoka hapo<\/p>\n<p>Haifai kwa anyetaka kuhiji au kufanya Umra azipite sehemu hizo isipokuwa awe amehirimia. Nazo ni sehemu tano:<\/p>\n<p><span style=\"color: #800000;\">1. Dhul Hulaifah<\/span><\/p>\n<p>Nayo ipo upande wa kusini wa mji wa Mtume wa Madina, na unaitwa \u00abAbyaar \u2039Ali\u00bb. Iko mbali na Makka kwa masafa ya kilimita 420.<\/p>\n<p>Nayo ni mahali pa kuhirimia watu wa Madina.<\/p>\n<p><span style=\"color: #800000;\">2. Juhfah:<\/span><\/p>\n<p>Nayo iko karibu ya mji wa Raabigh, na ina umbali wa kiasi cha kilomita 186 kutoka Makka.<\/p>\n<p>Nayo ni mahali pa kuhirimia watu wa Shaam, Masri na nchi za upande wa maghribi<\/p>\n<p><span style=\"color: #800000;\">3. Yalamlam:<\/span><\/p>\n<p>Nayo ni bonde kubwa kwenye njia ya watu wa Yaman kwenda Makka.<\/p>\n<p>Kwasasa inaitwa: Assa\u203adiyyah, na iko mbali na Makka kwa kiasi cha kilomita 120.<\/p>\n<p>Nayo ni mahali pa kuhirimia watu wa Yaman.<\/p>\n<p><span style=\"color: #800000;\">4. Qarnul Manaazil:<\/span><\/p>\n<p>Na sasa inaitwa ( Assaylul Kabiir), na iko mbali na Makka kwa kiasi cha kilomita 75.<\/p>\n<p>Nayo ni mahali pa kuhirimia watu wa Najd na Twaif. Na juu yake, kwenye njia ya Twaif upande wa Hadaa kuna mahali panapoitwa Waadii Muharram.<\/p>\n<p>Na pote pawili ni sehemu ya kuhirimia watu wa Najd na wale wanaokuja kupitia njia ya Twaif.<\/p>\n<p><span style=\"color: #800000;\">5. Dhaatu&#8217;Irq:<\/span><\/p>\n<p>na sasa inaitwa (Dhariibah au Khuraibaat).<\/p>\n<p>Napo ni mahali upande wa Mashariki ya Makka. Umbali wake na Makka ni kiasi cha kilomita 100. Na kwa sasa hapo mahali pamehamwa.<\/p>\n<p>Nayo ni mahali pa kuhirimia watu wa upande wa Mashariki (Iraki, Irani na nchi za nyuma yake. Na dalili ya yaliyopita ni ni riwaya iliyopokewa kutoka kwa Ibnu Abbas radhi za Allah ziwe juu yake kuwa alisema:[Mtume wa Mwenyezi Mungu \ufdfa aliwawekea watu wa Madina Dhulhulaifah iwe ni mahali pa wao kuhirimia, akawawekea watu wa Sham hapo Juhfa. Akawawekea watu wa Najd hapo Qarnulmanaazil, Akawawekea watu wa Yaman hapo Qarnulmanaazil na akasema:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u0647\u064f\u0646\u0651\u064e \u0644\u064e\u0647\u064f\u0646\u0651 \u0648\u064e\u0644\u0650\u0645\u064e\u0646\u0652 \u0623\u064e\u062a\u064e\u0649 \u0639\u064e\u0644\u064e\u064a\u0652\u0647\u0650\u0646\u0651\u064e \u0645\u0650\u0646\u0652 \u063a\u064e\u064a\u0652\u0631\u0650\u0647\u0650\u0646\u0651\u064e]<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Sehemu hizo ni zao wao na wanaokuja hapo kati wa watu wa maeneo mengine wanaotaka kuhiji au kufanya Umra] \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #008000;\">[Imepokewa na Bukhari na Muslim.].<\/span><\/span><\/p>\n<p>Ama Dhaatu \u2018Irq haikutajwa kwenye hadithi iliyotangulia, na lililowekwa ni \u2018Umar ibnu l- Khattaab\u00a0[Imepokewa na Bukhari.].<\/p>\n<p><span style=\"color: #800000;\"><strong>MAELEZO\u00a0<\/strong><\/span><\/p>\n<p>&#8211; Mwenye kuvuka sehemu hizi za mikati bila ya kuhirimia ni lazima kurudi na kuhirimia ikiwezakana, na isipoweza kufanya hivyo basi atawajibika kutoa fidiya, nao ni mbuzi atakae mchinja makka na agawanye nyama yake kwa masikini wa makka.<\/p>\n<p>&#8211; Mwenye kupita sehemu za Mikaati kwa mtu asie kuwa ni wasehemu hiyo basi atahirimi hapo, lau mtu wakutoka najdi amekuja kwa njia ya watu wa madina atahirimia sehemu ya watu wa madina (Abyaar Ali)<\/p>\n<p>&#8211; Mtu ikiwa nymba yake iko ndani ya sehemu ya kuhirimia kwa upande wa makka basi Mtu huyu atahirimia hija na umra sehemu alipo Mfano wa watu wa Jiddah na Bahra na Ashraa\u2019i.<\/p>\n<p>&#8211; Mwenye kuja kwa njia ya anga na bara, na bahari, huyu atahirimia akiwamkabala na sehemu ya Mikati iliyo karibu. Kwa kauli ya umar binl-khatwab (angaliyani mkabala wake kutoka kwenye njia yenu) \u00a0[Imepokewa na Bukhari.]<\/p>\n<p>&#8211; Mwenye kutia nia ya kuhiji kwa mtu wa makka au asie kuwa mtu wa makka huyu atahirimia makka, ama akitaka kufanya Umra atatoka kwenda tan\u2019iim na Ji\u2019iraan nazo ni sehemu ziko nje ya mipaka ya haram<\/p>\n<p>Pili: Nyakati za kuhirimia<br \/>\nNyakati za kuhirimia<br \/>\nZama za kuhiji na kufanya Umra<\/p>\n<p>A. Nyakati za Hijja<\/p>\n<p>Ni miezi ya Hija nayo ni: Mfungomosi, Mfungopili na siku kumi za Mfungotatu.<\/p>\n<p>kama alivyo sema Mwenyezi Mungu:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">{\u0627\u0644\u0652\u062d\u064e\u062c\u0651\u064f \u0623\u064e\u0634\u0652\u0647\u064f\u0631\u064c \u0645\u0651\u064e\u0639\u0652\u0644\u064f\u0648\u0645\u064e\u0627\u062a\u064c \u06da \u0641\u064e\u0645\u064e\u0646 \u0641\u064e\u0631\u064e\u0636\u064e \u0641\u0650\u064a\u0647\u0650\u0646\u0651\u064e \u0627\u0644\u0652\u062d\u064e\u062c\u0651\u064e \u0641\u064e\u0644\u064e\u0627 \u0631\u064e\u0641\u064e\u062b\u064e \u0648\u064e\u0644\u064e\u0627 \u0641\u064f\u0633\u064f\u0648\u0642\u064e \u0648\u064e\u0644\u064e\u0627 \u062c\u0650\u062f\u064e\u0627\u0644\u064e \u0641\u0650\u064a \u0627\u0644\u0652\u062d\u064e\u062c\u0651\u0650} \u00a0 \u0627\u0644\u0628\u0642\u0631\u0629:197<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\"><em>[Hija ni miezi maalumu. Na anaye kusudia kufanya Hija katika miezi hiyo, basi asiseme maneno machafu wala asifanye vitendo vichafu wala asibishane katika Hija.]<\/em>\u00a0\u00a0\u00a0[Al Baqara:197]<\/span><\/p>\n<p>B. Nyakati za Umra<\/p>\n<p>Ni mwaka mzima<\/p>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MAANA YA MIIQATI NA AINA ZAKE Suali:\u00a0Ni nini maana ya Miiqaat (Nyakati) Jawabu:\u00a0Nyakati kilugha ni kuweka mpaka baina ya vitu viwili. Ama kwa istilahi ya sheria Ni mipaka iliyowekwa na sharia kwa ajili ya ibada na yawakati na Namahali. AINA YA NYAKATI Kwanza: Nyakati za mahali Nyakati za mahali Ni sehemu zilizowekwa na Sheria kuhirimia [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":19361,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[72],"tags":[],"class_list":["post-5755","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-mlango-wa-hija"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5755","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5755"}],"version-history":[{"count":6,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5755\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":20840,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5755\/revisions\/20840"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/19361"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5755"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5755"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5755"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}