{"id":5689,"date":"2021-06-22T07:09:41","date_gmt":"2021-06-22T07:09:41","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=5689"},"modified":"2022-09-01T12:24:23","modified_gmt":"2022-09-01T12:24:23","slug":"masharti-ya-zaka-za-mali-ya-biashara","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/masharti-ya-zaka-za-mali-ya-biashara\/","title":{"rendered":"MASHARTI YA ZAKA ZA MALI YA BIASHARA"},"content":{"rendered":"<h2><span style=\"color: #993300;\">SOMO LA FIQHI<\/span><\/h2>\n<p><span style=\"color: #008000;\">Suali:\u00a0<\/span>Ni yapi masharti ya mtu kuwajibika kutoa zaka za mali ya biashara?<\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">Jawabu:<\/span>\u00a0Masharti ya kulazimika mtu kutoa zaka ya Mali ya biashara.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">1.\u00a0<\/span>Kiwango chake kifikie nisabu, na nisabu inakadiriwa kwa kipimo cha dhahabu na fedha.<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">2.<\/span>\u00a0Ikamilishe mzunguko wa mwaka mzima.<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">3.\u00a0<\/span>Iwe imekusudiwa kwa lengo la biashara; na hii ni kwamba iwe imekusudiwa kama kuchuma; kwa kauli ya Mtume\u00a0<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u0625\u0646\u0645\u0627 \u0627\u0644\u0623\u0639\u0645\u0627\u0644 \u0628\u0627\u0644\u0646\u064a\u0627\u062a] \u00a0 <span style=\"color: #ff6600;\">\u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u0628\u062e\u0627\u0631\u064a \u0648\u0645\u0633\u0644\u0645<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Hakika ya matendo ni kwa niya ya mtu] \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #008000;\">[Imepokewa na Bukhari na Muslim.].<\/span><\/span><\/p>\n<p>Mtu atakapobadilisha niya yake kutoka kwa biashara na kutumia bidhaa hizo basi hukatika hisabu ya mzunguko (mwaka), na akirudia niya ya biashara ataanza tena upya kuhisabu mzunguko mpya, ila akiwa amekusudia kufanya udanganyifu kwa lengo la kuondosha jukumu la kutoa zaka, basi hapa mzunguko haukatiki.<\/p>\n<p>&#8211; Mfano: mtu anunue ardhi mwezi wa mfungo nne kwa nia ya kufanya biashara kisha alipofika shabani akageuza nia na akakusudia kujenga nyumba ya kukaa, hapa mwaka utakatika, kisha mfungo mosi akamua kuifanyia biashara mwaka wake utahisabiwa mfungo mosi ila kama alifanya hivyo kwa njia ya hila na kukimbia asitoe zaka basi mwaka hautakatika.<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\"><strong>FAIDA<\/strong><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\">ZAKA YA RASLIMALI<\/span><\/p>\n<p>Kinachotolewa zaka katika mali za biashara ni raslimali ambayo kwamba imekusudiwa kwa lengo la kununua na kuuza ili mtu apate faida, ama raslimali ambayo kwamba ni ya mali za kukaa hazizunguki katika biashara yaani si za kununuliwa ili ziuzwe, basi raslimali kama hii haihisabiwi wakati wa kuhisabu bidhaa za biashara wala haitolewi zaka, mfano wake ni kama makabati, na jokofu\/firiji ambazo zinahifadhi bidhaa za kuuzwa, na magari yanayobeba bidhaa, na vyombo vya kubebea bidhaa, na mfano wake.<\/p>\n<hr \/>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>SOMO LA FIQHI Suali:\u00a0Ni yapi masharti ya mtu kuwajibika kutoa zaka za mali ya biashara? Jawabu:\u00a0Masharti ya kulazimika mtu kutoa zaka ya Mali ya biashara. 1.\u00a0Kiwango chake kifikie nisabu, na nisabu inakadiriwa kwa kipimo cha dhahabu na fedha. 2.\u00a0Ikamilishe mzunguko wa mwaka mzima. 3.\u00a0Iwe imekusudiwa kwa lengo la biashara; na hii ni kwamba iwe imekusudiwa [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":14870,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[70],"tags":[],"class_list":["post-5689","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-mlango-wa-zaka"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5689","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5689"}],"version-history":[{"count":6,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5689\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":14925,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5689\/revisions\/14925"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/14870"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5689"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5689"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5689"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}