{"id":5684,"date":"2021-06-22T07:05:45","date_gmt":"2021-06-22T07:05:45","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=5684"},"modified":"2022-09-01T10:35:47","modified_gmt":"2022-09-01T10:35:47","slug":"zaka-za-nafaka-na-matunda","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/zaka-za-nafaka-na-matunda\/","title":{"rendered":"ZAKA ZA NAFAKA NA MATUNDA"},"content":{"rendered":"<h3 style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #993300;\">SOMO LA FIQHI<\/span><\/h3>\n<p><span style=\"color: #008000;\">Suali:<\/span>\u00a0Ni nini Maana ya Vinavyotoka kwenye Ardhi<br \/>\n<span style=\"color: #0000ff;\">Jawabu:<\/span> Ni Kila kinachotoka ndani ya ardhi, na kinawezekana kunufaika nacho.<\/p>\n<p>Na kinachotoka ndani Ardhini ni Sampuli mbili:<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">1.<\/span> Ni Nafaka na Matunda na<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">2.<\/span> Madini, na Hazina iliyozikwa Ardhini<\/p>\n<p>Suala: Ni nini Maana ya Nafaka na Matunda<br \/>\nJawabu:\u00a0Nafaka ni Kila tembe (mbegu) inayohifadhiwa katika mtama, ngano na mfano wa hii.<\/p>\n<p>Na Maana ya Matunda ni Kila tunda linalohifadhiwa kama tende, na zabibu, na lozi.<\/p>\n<p>Suali:\u00a0Ni ipi hukmu ya zaka ya Nafaka na Matunda?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Hukumu ya kutoa Zaka ya nafaka na matunda\u00a0ni wajibu, kwa kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">{\u0648\u064e\u0622\u062a\u064f\u0648\u0627 \u062d\u064e\u0642\u0651\u064e\u0647\u064f \u064a\u064e\u0648\u0652\u0645\u064e \u062d\u064e\u0635\u064e\u0627\u062f\u0650\u0647\u0650} \u00a0 \u0627\u0644\u0623\u0646\u0639\u0627\u0645:141<\/span><\/p>\n<p><em>[Na toeni haki yake siku ya kuvunwa kwake]<\/em>\u00a0\u00a0\u00a0[Al-An-am: 141]<\/p>\n<p>Na kwa kauli ya Mtume\u00a0\ufdfa:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u0641\u0650\u064a\u0645\u064e\u0627 \u0633\u064e\u0642\u064e\u062a\u0652 \u0627\u0644\u0633\u0651\u064e\u0645\u064e\u0627\u0621\u064f \u0648\u064e\u0627\u0644\u0652\u0639\u064f\u064a\u064f\u0648\u0646\u064f \u0623\u064e\u0648\u0652 \u0643\u064e\u0627\u0646\u064e \u0639\u064e\u062b\u064e\u0631\u0650\u064a\u0651\u064b\u0627 \u0627\u0644\u0652\u0639\u064f\u0634\u0652\u0631\u064f \u060c \u0648\u064e\u0645\u064e\u0627 \u0633\u064f\u0642\u0650\u064a\u064e \u0628\u0650\u0627\u0644\u0646\u0651\u064e\u0636\u0652\u062d\u0650 \u0646\u0650\u0635\u0652\u0641\u064f \u0627\u0644\u0652\u0639\u064f\u0634\u0652\u0631\u0650] \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #ff6600;\">\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u0628\u062e\u0627\u0631\u064a\u00a0<\/span><\/span><\/p>\n<p>[Kwa yaliyo nyunyiziwa (maji) ya mbinguni (yaani mvua) au mito au kama yamemea yenyewe\u00a0(kama vile hali ya umande)\u00a0(inafaa mtu atoe) ushuri moja (yaani atoe sehemu moja kwa kumi ya mavuno atakayopata (1\/10),\u00a0Na yaliyonyunyiziwa kwa kumwagiwa maji (na mtu mwenyewe) atatoa nusu ya Ushuri]\u00a0(yaani atoe sehemu moja kwa tano yamavuno atakayopata (1\/20) ]\u00a0 \u00a0 \u00a0\u00a0[Imepokewa na Bukhari]<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\"><strong>MAELEZO YA HADITHI<\/strong><\/span><\/p>\n<p>ikiwa mtu ameashughulikia mazao yake kwa kutumia nguvu zake katika kunyunyizia Maji,sawa awe ametumia wanyama au vifaa vya kisasa basi mtu huyo atalazimika atoe nusu ya fungu la kumi,ama ikiwa hakunyunyiza Maji bali ni alitegemea Mvua au umande na kadhalika basi mtu huyo atalazimika atoe fungu la kumu.<\/p>\n<p><span style=\"color: #008000;\">Suali<\/span>:\u00a0Ni yapi Masharti ya kuwajibika kwa Zaka ya nafaka na matunda?<\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">Jawabu:<\/span>\u00a0Masharti ya kuwajibika kwa zaka ya Nafaka na Matunda ni kama ifuatavyo:<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">1.<\/span>\u00a0 Iwe ni katika (mavuno) yanayohifadhika.<\/p>\n<p>Ikiwa si mavuno ya kuhifadhika, na ni mavuno ya chakula chake cha siku basi hakuna Zaka ya kutolewa hapo, kwasababu sio ya kuhifadhiwa hayakuzidi mahitaji yake ya kula kwake kwa kila siku, hivyo basi hayamtoshelezi mahitaji yake; kwa kukosekana utulivu wa kunufaika (na yale mavuno).<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">2.<\/span>\u00a0Iwe ni (mavuno) yanayopimwa.<\/p>\n<p>Na hii iwe ni katika (mavuno) yanayopimwa kwa mizani ili kulinganishwa na saaq, nayo ni kipimo (fulani), hii inaashiria kutambulika kwa mavuno hayo; kwa kauli ya Mtume \ufdfa:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u0644\u064e\u064a\u0652\u0633\u064e \u0641\u0650\u064a \u062d\u064e\u0628\u0651\u064d \u0648\u064e\u0644\u0627 \u062a\u064e\u0645\u0652\u0631\u064d \u0635\u064e\u062f\u064e\u0642\u064e\u0629\u064c \u062d\u064e\u062a\u0651\u064e\u0649 \u064a\u064e\u0628\u0652\u0644\u064f\u063a\u064e \u062e\u064e\u0645\u0652\u0633\u064e\u0629\u064e \u0623\u064e\u0648\u0652\u0633\u064f\u0642\u064d] \u00a0 \u00a0 <span style=\"color: #ff6600;\">\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0645\u0633\u0644\u0645<\/span><\/span><\/p>\n<p>[Hakuna katika nafaka, wala tende Zaka yoyote mpaka ifike saaq tano]\u00a0\u00a0 \u00a0[Imepokewa na Muslim.]<\/p>\n<p>[<strong>Al &#8211; Wasaq:<\/strong>\u00a0Ni Sawa na Pishi 60.]<\/p>\n<p>Basi ikiwa sio mavuno yanayopimwa kama vile mboga, na mabogaboga, hakuna Zaka kwa vitu hivi.<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">3.<\/span>\u00a0Iwe imemea kwa kupandwa na mtu katika Ardhi yake.<\/p>\n<p>Ama yaliyomea peke yake bila kupandwa na mtu Mavuno hayo hayana Zaka.<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">4.<\/span> Mavuno yafikie Nisabu.<\/p>\n<p>Nayo ni Makapu matano, kwa kauli ya Mtume \ufdfa:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u0644\u064e\u064a\u0652\u0633\u064e \u0641\u0650\u064a\u0645\u064e\u0627 \u062f\u064f\u0648\u0646\u064e \u062e\u064e\u0645\u0652\u0633\u064e\u0629\u0650 \u0623\u064e\u0648\u0652\u0633\u064f\u0642\u064d \u0635\u064e\u062f\u064e\u0642\u064e\u0629\u064c] \u00a0 <span style=\"color: #ff6600;\">\u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0645\u0633\u0644\u0645<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Hakuna katika nafaka wala tende Zaka yoyote mpaka ifike saaq tano]\u00a0 \u00a0<span style=\"color: #008000;\"> [Imepokewa na Muslim.]<\/span><\/span><\/p>\n<p>Na hii itakuwa ni sawa na (Pishi) mia tatu, nayo ni sawa na (612kg) katika ngano nzuri, na yanachanganywa matunda ya aina moja pamoja ya mwaka mzima ili kukamilisha nisabu, kama sampuli tofautitofauti za tende, kwa mfano tende za sukkari zinachanganywa na tende za barhy, kwasababu ni sampuli za mavuno aina moja, wala haifai kuchanganya aina tofauti ya mavuno kwa nyengine, hivyo basi haifai kuchanganya ngano kwa shayir, wala ngano kwa tende.<\/p>\n<p><span style=\"color: #008000;\">Sauli:<\/span>\u00a0Ni wakati gani wa kuwajibika kutoa Zaka ya Nafaka na Matunda.<br \/>\n<span style=\"color: #0000ff;\">Jawabu:<\/span>\u00a0Inawajibika utoaji wa Zaka katika nafaka pindi pale zitakapokomaa kuwa tayari, na katika matunda pale yatakapoanza kuonesha uzuri wake, kwa hali ya kwamba yamefikia kuwa mazuri kulika, na atakayeuza matunda au nafaka baada ya wakati wake wa kuwajibika kutolewa Zaka basi Zaka itakuwa ni kwa aliyeuza, kwasababu alikuwa akimiliki mavuno hayo wakati ule wa kuwajibika kutolewa Zaka.<\/p>\n<p><span style=\"color: #008080;\"><span style=\"color: #008000;\">Suali:<\/span>\u00a0<\/span>Nikiwango gani kinachowajibika kwa Zaka ya nafaka na matunda?<\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">Jawabu:<\/span>\u00a0Kiwango kinacho wajibika katika Zaka na Nafaka na Matunda na kama ifuatavyo:<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">1.\u00a0<\/span>Yalazimu kutoa ushuri (10%) Kwa (mavuno) ambayo kwamba hayakunyunyiziwa maji Kwa kuenezewa (na mtu) au kwa kugharamika (kwa mtu), kama vile yaliyonyunyiziwa kwa maji ya mvua au mito.<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">2.<\/span>\u00a0Yalazimu kutoa nusu ushuri (5%) kwa yaliyo nyunyiziwa kwa kuenezwa (na mtu) na kugharamika, kama yale yanayo nyunyiziwa kwa maji ya visima.<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">3.\u00a0<\/span>Yalazimu kutoa rubui tatu ya ushuri (7.5%) kwa yaliyo nyunyiziwa kutumia njia zote mbili, kama vile yanayo nyunyiziwa mara nyengine kwa maji ya mvua na mara nyengine kwa maji ya visima.<\/p>\n<p>Na dalili ni kauli ya Mtume \ufdfa:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u0641\u0650\u064a\u0645\u064e\u0627 \u0633\u064e\u0642\u064e\u062a\u0652 \u0627\u0644\u0633\u0651\u064e\u0645\u064e\u0627\u0621\u064f \u0648\u064e\u0627\u0644\u0652\u0639\u064f\u064a\u064f\u0648\u0646\u064f \u0623\u064e\u0648\u0652 \u0643\u064e\u0627\u0646\u064e \u0639\u064e\u062b\u064e\u0631\u0650\u064a\u0651\u064b\u0627 \u0627\u0644\u0652\u0639\u064f\u0634\u0652\u0631\u064f \u060c \u0648\u064e\u0645\u064e\u0627 \u0633\u064f\u0642\u0650\u064a\u064e \u0628\u0650\u0627\u0644\u0646\u0651\u064e\u0636\u0652\u062d\u0650 \u0646\u0650\u0635\u0652\u0641\u064f \u0627\u0644\u0652\u0639\u064f\u0634\u0652\u0631\u0650] <span style=\"color: #ff6600;\">\u00a0 \u0631\u0648\u0627\u0647 \u0645\u0633\u0644\u0645<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Kwa yaliyo nyunyiziwa kwa maji ya mbinguni na mito, na maziwa (yatolewe Zaka) ushuri, na kwa yaliyo nyunyiziwa kwa kutumia saania [ Saania: Ni mnyama anayetumika kunyweshea] (yatolewe Zaka) nusu ushuri)]\u00a0\u00a0\u00a0\u00a0<span style=\"color: #008000;\">[Imepokewa na Muslim.]<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #008000;\">Suali:\u00a0J<\/span>e? kuna Hukmu gani kwa kuharibika kwa Nafaka na Matunda?<br \/>\n<span style=\"color: #0000ff;\">Jawabu:\u00a0<\/span>Nafaka zikiharibika au matunda bila ya kuharibiwa na mtu au kushindwa kuzichunga vizuri, basi hakuna Zaka kwa mavuno hayo, ikiwa kuharibika kwake baada ya kupita mda wa kuwajibika kwake kwa kushindwa kuzichunga vizuri, au kuyaharibu mavuno kwa kusudi jambo hili halimuondoshei mtu jukumu la kutoa Zaka, atalazimika atekeleze jukumu hili hivyo hivyo.<\/p>\n<p><span style=\"color: #008000;\">Suali:<\/span>\u00a0Asali inafaa kutolewa Zaka?<br \/>\n<span style=\"color: #0000ff;\">Jawabu:\u00a0<\/span>\u00a0Ameeleze\u00a0Ibnu Abdulbar\u00a0(Mungu amrahamu) kwamba Jumuhuri ya wanavyoni kwamba asali haitolewi zaka nahilo ndilo lililo wazi, kwa sababu hakuna dalili katika Qur\u2019ani wala katika Hadithi ya kuwajibisha kuitolewa zaka, na asili nikutowajibika lolote mpaka ipatikane dalili ya kuwajibisha.<\/p>\n<hr \/>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>SOMO LA FIQHI Suali:\u00a0Ni nini Maana ya Vinavyotoka kwenye Ardhi Jawabu: Ni Kila kinachotoka ndani ya ardhi, na kinawezekana kunufaika nacho. Na kinachotoka ndani Ardhini ni Sampuli mbili: 1. Ni Nafaka na Matunda na 2. Madini, na Hazina iliyozikwa Ardhini Suala: Ni nini Maana ya Nafaka na Matunda Jawabu:\u00a0Nafaka ni Kila tembe (mbegu) inayohifadhiwa katika [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":14870,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[70],"tags":[],"class_list":["post-5684","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-mlango-wa-zaka"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5684","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5684"}],"version-history":[{"count":11,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5684\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":14896,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5684\/revisions\/14896"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/14870"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5684"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5684"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5684"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}