{"id":5522,"date":"2021-06-21T17:52:09","date_gmt":"2021-06-21T17:52:09","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=5522"},"modified":"2022-08-22T08:10:47","modified_gmt":"2022-08-22T08:10:47","slug":"namna-ya-kutwahirisha-vitu-vilionajisika","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/namna-ya-kutwahirisha-vitu-vilionajisika\/","title":{"rendered":"NAMNA YA KUTWAHIRISHA VITU VILIONAJISIKA"},"content":{"rendered":"<h3><span style=\"color: #993300;\">SOMO LA FIQHI<\/span><\/h3>\n<p>Suali:\u00a0Vipi hutahirishwa Ardhi iliyonasika ?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Ardhi iliyonasika hutwahirishwa kwa kuiondoa ile najisi au kwa kwa kuimiminia Maji.<\/p>\n<p>Kama ilivyo kuja Katika hadithi ya mbedui aliyekojoa msikitini, Mtume\u00a0\ufdfa: Alisema kuwambia Maswahaba wake:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u062f\u064e\u0639\u064f\u0648\u0647\u064f \u0648\u064e\u0647\u064e\u0631\u0650\u064a\u0642\u064f\u0648\u0627 \u0639\u064e\u0644\u064e\u0649 \u0628\u064e\u0648\u0652\u0644\u0650\u0647\u0650 \u0633\u064e\u062c\u0652\u0644\u064b\u0627 \u0645\u0650\u0646\u0652 \u0645\u064e\u0627\u0621\u064d \u0623\u064e\u0648\u0652 \u0630\u064e\u0646\u064f\u0648\u0628\u064b\u0627 \u0645\u0650\u0646\u0652 \u0645\u064e\u0627\u0621\u064d] \u00a0 \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #ff6600;\">\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u0628\u062e\u0627\u0631 \u0648\u0645\u0633\u0644\u0645<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Muwacheni na mwageni kwenye mkojo wake ndoo ya maji]\u00a0\u00a0 \u00a0<span style=\"color: #008000;\">[ Imepokewa na Bukhari na Muslim.].<\/span><\/span><\/p>\n<p>Na iwapo najisi ni majimaji ya kutiririka kisha ikakauka basi kwa hivyo huwa ishatwahirika kulingana na hadithi ya\u00a0Abuu Qilaabah\u00a0Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa alisema:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u0625\u0630\u064e\u0627 \u062c\u064e\u0641\u0651\u064e\u062a\u0650 \u0627\u0644\u0623\u064e\u0631\u0652\u0636\u064f \u0641\u064e\u0642\u064e\u062f\u0652 \u0632\u064e\u0643\u064e\u062a\u0652 \u00a0[ \u0632\u0643\u062a: \u0637\u0647\u0631\u062a]\u064d \u00a0 \u00a0 <span style=\"color: #ff6600;\">\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u0628\u062e\u0627\u0631\u064a<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Ardhi ikikauka huwa imetwahirika\u201d] \u00a0 \u00a0\u00a0<span style=\"color: #008000;\">[Imepokewa na Bukhari.]<\/span><\/span><\/p>\n<p>Suali:\u00a0Maji yalionajisika hutwahiriswa namna gani?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Maji yalionajisika hutwahirika kwa namna mpili:<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">1.<\/span> Hutwahirika kwa kuongeza maji mengi ndani yake mapaka ikaondoka athari ya najisi.<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">2.<\/span> Pia yanatwahirika kwa kuyasafisha kwa njia za kiteknolojia za kisasa.<\/p>\n<p>Suali:\u00a0Nguo ilio ingia najisi hutwahirika namna gani?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0nguo ilio ingia najisi hutwahirika kwa kuoshwa kwa maji mpaka Athari ya najisi iondoke kwa kuondoka rangi yake na harufu yake,lakini inapo shindikana kutoka kwa rangi yake husamehewa kwa sharti iwe harufu ya najisi imeondoka.<\/p>\n<p>Suali:\u00a0Matandiko kama vile mazulia na mfano wake yanapo najisikia hutwahirishwa namna gani?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Kuyatwahirisha matandiko yalio najisika,kama vile mazulia na mfano wake,<br \/>\nHuoshwa kwa maji mpaka ya kaondoka athari ya najisi na ikiwa najisi imeganda basi hukangurwa kisha kusafishwa kwa maji, au kwa visafishaji vya kisasa,mpaka najisi iondoke.<\/p>\n<p>Suali:\u00a0Vipi hutwahirishwa ngozi ya mnyama anaeliwa?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Hutwahirishwa ngozi ya mnyama anaeliwa kwa kuitia rangi kwa kauli yake Mtume \ufdfa:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[ \u0625\u0650\u0630\u064e\u0627 \u062f\u064f\u0628\u0650\u063a\u064e \u0627\u0644\u0625\u0650\u0647\u064e\u0627\u0628\u064f \u0641\u064e\u0642\u064e\u062f\u0652 \u0637\u064e\u0647\u064f\u0631\u064e] \u00a0 \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #ff6600;\"> \u0631\u0648\u0627\u0647 \u0645\u0633\u0644\u0645<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Ngozi ikitiwa rangi huwa imetwahirika] \u00a0\u00a0\u00a0<span style=\"color: #008000;\">[ Imepokewa na Muslim.]<\/span><\/span><\/p>\n<p>Na dibaagh ni kutengeneza ngozi kwa baadhi ya madawa mpaka zilainike na uvundo wake uondoke. Ama mnyama anayeliwa awapo si mfu na akawa amechinjwa kwa njia ya kisheria, basi ngozi yake ni twahara<\/p>\n<p>Kwa Yule mnyama ambae haiwi halali kuchinjwa kwake ngozi yake haitotwahirika kwa kukaushwa hata kama katika uhai wake alikuwa twahara.<\/p>\n<p>Suali:\u00a0Vipi hutahirishwa mkojo wa mtoto wa kiume na wakike ambae hajakula?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Hutwahirisha mkojo wa mtoto wa kike kwa kuoshwa na Maji.Ama mkojo wa mtoto wa kiume, inatosha kunyunyiza maji juu yake, kwa kauli yake Mtume\u00a0\ufdfa:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u064a\u064f\u063a\u0652\u0633\u064e\u0644\u064f \u0645\u0650\u0646\u0652 \u0628\u064e\u0648\u0652\u0644\u0650 \u0627\u0644\u0652\u062c\u064e\u0627\u0631\u0650\u064a\u064e\u0629\u0650\u060c \u0648\u064e\u064a\u064f\u0631\u064e\u0634\u0651\u064f \u0645\u0650\u0646\u0652 \u0628\u064e\u0648\u0652\u0644\u0650 \u0627\u0644\u0652\u063a\u064f\u0644\u064e\u0627\u0645\u0650] \u00a0 <span style=\"color: #ff6600;\">\u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0623\u0628\u0648 \u062f\u0627\u0648\u062f<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Mkojo wa mtoto wa kike huoshwa, na mkojo wa mtoto wa kiume hunyunyizwa maji]\u00a0\u00a0<span style=\"color: #008000;\">[Imepokewa na Abu Daud.]<\/span><\/span><\/p>\n<p>Suali:\u00a0hutwahirishwa vipi chombo kilichoramba na Mbwa?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Chombo kilichorambwa na Mbwa\u00a0Huoshwa mara saba, na mara ya kwanza yake huoshwa na mchanga, kwa kauli yake Mtume\u00a0\ufdfa:<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">\u0637\u064e\u0647\u064f\u0648\u0631\u064f \u0625\u0650\u0646\u064e\u0627\u0621\u0650 \u0623\u064e\u062d\u064e\u062f\u0650\u0643\u064f\u0645\u0652 \u0625\u0650\u0630\u064e\u0627 \u0648\u064e\u0644\u064e\u063a\u064e \u0641\u0650\u064a\u0647\u0650 \u0627\u0644\u0652\u0643\u064e\u0644\u0652\u0628\u064f \u0623\u064e\u0646\u0652 \u064a\u064e\u063a\u0652\u0633\u0650\u0644\u064e\u0647\u064f \u0633\u064e\u0628\u0652\u0639\u064e \u0645\u064e\u0631\u064e\u0651\u0627\u062a\u064d \u0623\u064f\u0648\u0644\u064e\u0627\u0647\u064f\u0646\u064e\u0651 \u0628\u0650\u0627\u0644\u062a\u064f\u0651\u0631\u064e\u0627\u0628\u0650 ] \u00a0<span style=\"color: #ff6600;\"> \u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0645\u0633\u0644\u0645<\/span>]<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Utwahara wa chombo cha mmoja wenu iwapo mbwa amekiramba ni kukiosha mara saba, mara ya kwanza yake ni kwa mchanga]\u00a0\u00a0 \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #008000;\">\u00a0[ Imepokewa na Muslim]<\/span><\/span><\/p>\n<p>Suali:\u00a0Madhii na Wadii yanapo ingia kwenye nguo hutwahirishwa namna gani?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Kuyatwahirisha Madhii na Wadii<\/p>\n<p>Kwanza mtu anapo tokwa na Madhi na wadii analzimika kuosha dhakari yake na atatawadha, kwa kauli yake Mtume\u00a0\ufdfa\u00a0katika hadithi ya Ali bin Abii Twalib:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u062a\u0648\u0636\u0623 \u0648\u0627\u063a\u0633\u0644 \u0630\u0643\u0631\u0643] \u00a0 <span style=\"color: #ff6600;\">\u00a0\u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u0628\u062e\u0627\u0631\u064a<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Tawadha na uoshe dhakari yako]\u00a0\u00a0 \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #008000;\">[ Imepokewa na Bukhari.]<\/span><\/span><\/p>\n<p>Ama kuitwahirisha nguo, inatosha kunyunyiza maji mahali palipo na madhii au wadii, kwa hadithi ya Sahl bin Hanif kuwa yeye alimuuliza mtume \ufdfa:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: right;\"><span style=\"color: #008000;\">\u00a0\u00a0\u064a\u0627 \u0631\u0633\u0648\u0644 \u0627\u0644\u0644\u0647 \u0641\u0643\u064a\u0641 \u0628\u0645\u0627 \u064a\u0635\u064a\u0628 \u062b\u0648\u0628\u064a \u0645\u0646\u0647\u061f \u0642\u0627\u0644: \u201c\u064a\u0643\u0641\u064a\u0643 \u0623\u0646 \u062a\u0623\u062e\u0630 \u0643\u0641\u0627\u064b \u0645\u0646 \u0645\u0627\u0621 \u0641\u062a\u0646\u0636\u062d \u0628\u0647 \u062b\u0648\u0628\u0643 \u062d\u064a\u062b \u062a\u0631\u0649 \u0623\u0646\u0647 \u0623\u0635\u0627\u0628 \u0645\u0646\u0647\u201d.\u00a0 \u00a0<span style=\"color: #ff6600;\"> \u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u062a\u0631\u0645\u0630\u064a \u0648\u0623\u0628\u0648 \u062f\u0627\u0648\u062f \u0648\u0642\u0627\u0644 \u0627\u0644\u062a\u0631\u0645\u0630\u064a \u062d\u062f\u064a\u062b \u062d\u0633\u0646 \u0635\u062d\u064a\u062d<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Nilisema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Nguo yangu ikiiingiwa na chochote katika vitu hivyo itakuwaje?\u201d Akasema: (Inakutosheleza utie maji kwenye kitanga cha mkono uyamimine nguoni mwako mpaka uone kwamba yameviondoa] \u00a0<span style=\"color: #008000;\"> [Imepokewa na Tirmidhiy na Abu Daud na akasema Tirmidhi ni hadithi Hasan swahihi]<\/span><\/span><\/p>\n<p>Na wamenda badhi ya Wanchuoni kuwa Huoswa kwa Maji ila kwa yule ambae yuwatokwa sana na Madhii kama hali aliyokuwa nayo swahaba sahal bin hanif.<\/p>\n<p>Suali:\u00a0Damu ya Hedhi ikiingia kwenye ngou hutahishwa namna gani ?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Nguo inapo ingia Damu ya hedhi au damu yanifasi ikiwa imeganda hukangurwa kisha huoshwa kwa Maji,kama vile Mtume\u00a0\ufdfa\u00a0alipo mwambia Asmaa ikangure kisha uoshe kwa Maji.<\/p>\n<p>na inapo oshwa kwa maji na kuondoka Athari ya damu itatosheleza, ama ikiwa athari ya damu itabakia baada ya kutumia visafishaji basi itakuwa imetwahirika na haidhuru kubakia Athari yake, kwa kauli yake Mtume\u00a0\ufdfa:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u064a\u0643\u0641\u064a\u0643 \u0627\u0644\u0645\u0627\u0621 \u0648\u0644\u0627 \u064a\u0636\u0631\u0643 \u0623\u062b\u0631\u0647 ] \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #ff6600;\">\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0623\u062d\u0645\u062f \u0648\u0623\u0628\u0648 \u062f\u0627\u0648\u062f<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Yanakutosheleza maji, na athari yake haikudhuru] \u00a0\u00a0\u00a0<span style=\"color: #008000;\">[Imepokewa na Abu Daud.]<\/span><\/span><\/p>\n<p>Suali:\u00a0Viatu vinapo ingia najisi hutwahirishwa namna gani?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Viatu vinapo ingia najisi na akawa mtu ataka kuswali navyo, basi atavisugua chini yake mpaka iondoke athari ya najisi, kwa kauli yake Mtume \ufdfa:<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">\u0625\u0630\u0627 \u0648\u0637\u0626 \u0623\u062d\u062f\u0643\u0645 \u0628\u0646\u0639\u0644\u0647 \u0627\u0644\u0623\u0630\u0649\u060c \u0641\u0625\u0646 \u0627\u0644\u062a\u0631\u0627\u0628 \u0644\u0647 \u0637\u0647\u0648\u0631] \u00a0 \u00a0 <span style=\"color: #ff6600;\">\u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0623\u0628\u0648\u062f\u0627\u0648\u062f<\/span>]<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Mmoja wenu anapokanyaga uchafu kwa kiatu chake, basi mchanga unakitwahirisha]\u00a0 \u00a0<span style=\"color: #008000;\">[Imepokewa na Abu Daud.]<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #000000;\">Suali:\u00a0Hutwahirika vipi Nguo ndefu ya Mwanamke ?<\/span><\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Mwanamke ikiwa amevaa hijabu ndefu na akapita kwenye sehemu kuna najisi iliokauka ikipakana na ukingo wa hijabu yake, basi inamtosheleza yeye atembee mahali twahara na ardhi itaitwahirisha, kwa kauli yake Mtume \ufdfa<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">\u064a\u0637\u0647\u0631\u0647 \u0645\u0627 \u0628\u0639\u062f\u0647] \u00a0 <span style=\"color: #ff6600;\">\u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0623\u0628\u0648\u062f\u0627\u0648\u062f<\/span>]<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Kitaitwahirisha kilicho baada yake]\u00a0 \u00a0<span style=\"color: #008000;\">[ Imepokewa na Abu Daud.]<\/span><\/span><\/p>\n<p>Lakini ikiwa najisi ni Maji maji kama vile maji ya mitaro,au kinyesi \u00a0badhi ya wanachuoni wamesema kuwa nilazima kuoshwa kwa Maji.<\/p>\n<p>Suali:\u00a0Hutwahirishwa vipi Vyakula vikavu vilivyo ingia najisi?<\/p>\n<p>Jawabu:\u00a0Vinatwahirika kwa kuiondoa najisi na zile sehemu zilizo pambizoni mwa hivyo vyakula, na kinachosalia kitakuwa twahara, kwa ilivyothubutu kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu\u00a0\ufdfa\u00a0aliulizwa kuhusu panya aliyeingia ndani ya samli, akasema:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u0623\u0644\u0642\u0648\u0647\u0627 \u0648\u0645\u0627 \u062d\u0648\u0644\u0647\u0627 \u0648\u0643\u0644\u0648\u0647 ] \u00a0 \u00a0\u00a0\u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u0628\u062e\u0627\u0631\u064a<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Vitupeni! Na vile vilivyo pambizoni mwakeviondoeni namule samli yenu] \u00a0 \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #008000;\">[ Imepokewa na Bukhari.]<\/span><\/span><\/p>\n<p>Na chakula kikiwa ni majimaji hunajisika na haifai kutumia chakula hicho.<\/p>\n<p>Suali:\u00a0Vitu Vigumu kama Viyoo na Gilasi vinapo ingia najisi hutwahirishwa vipi?<br \/>\nJawabu:\u00a0Vitapanguswa mpaka\u00a0iondoke\u00a0athari ya najisi.<\/p>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>SOMO LA FIQHI Suali:\u00a0Vipi hutahirishwa Ardhi iliyonasika ? Jawabu:\u00a0Ardhi iliyonasika hutwahirishwa kwa kuiondoa ile najisi au kwa kwa kuimiminia Maji. Kama ilivyo kuja Katika hadithi ya mbedui aliyekojoa msikitini, Mtume\u00a0\ufdfa: Alisema kuwambia Maswahaba wake: [\u062f\u064e\u0639\u064f\u0648\u0647\u064f \u0648\u064e\u0647\u064e\u0631\u0650\u064a\u0642\u064f\u0648\u0627 \u0639\u064e\u0644\u064e\u0649 \u0628\u064e\u0648\u0652\u0644\u0650\u0647\u0650 \u0633\u064e\u062c\u0652\u0644\u064b\u0627 \u0645\u0650\u0646\u0652 \u0645\u064e\u0627\u0621\u064d \u0623\u064e\u0648\u0652 \u0630\u064e\u0646\u064f\u0648\u0628\u064b\u0627 \u0645\u0650\u0646\u0652 \u0645\u064e\u0627\u0621\u064d] \u00a0 \u00a0 \u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u0628\u062e\u0627\u0631 \u0648\u0645\u0633\u0644\u0645 [Muwacheni na mwageni kwenye mkojo [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":14491,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[68],"tags":[],"class_list":["post-5522","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-mlango-wa-twahara"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5522","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5522"}],"version-history":[{"count":5,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5522\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":14500,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5522\/revisions\/14500"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/14491"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5522"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5522"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5522"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}