{"id":4865,"date":"2021-06-17T21:51:41","date_gmt":"2021-06-17T21:51:41","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=4865"},"modified":"2023-05-17T12:45:42","modified_gmt":"2023-05-17T12:45:42","slug":"elimu-ya-mirathi","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/elimu-ya-mirathi\/","title":{"rendered":"ELIMU YA MIRATHI"},"content":{"rendered":"<h2><span style=\"color: #993300;\">ELIMU YA MIRATHI<\/span><\/h2>\n<p>Ni msingi unaojulikana katika kutimiza haki ya kila mwenye\u00a0kustahiki kurithi, kulingana na mafunzo na maadili ya\u00a0kiislamu.<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\">HEKIMA ILIYOTUMIKA KATIKA MIRATHI<\/span><br \/>\nMwenyezi Mungu amejaalia mirathi kuwa ni nidhamu\u00a0iliyonyooka na kuwa ni kanuni iliyo na hekima na\u00a0hupatikaniwa ndani yake Rehma na uadilifu.<\/p>\n<p>Hekima iliyotumika katika elimu ya mirathi<br \/>\nMwenyezi Mungu amefanya ugavi wa mirathi ni nidhamu iliyonyooka na sharia iliyo na hekima ndani hake, hupatikaniwa ndani yake Rehma na Uadilifu.miongoni mwayo:<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">a)<\/span>\u00a0Uislamu umejaalia mirathi ni kwa pote maalum la watu ili kuondosha mizozo ,ugomvi na fitna kwa jamii ,wasidai mirathi wasio husika.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">b)<\/span>\u00a0Mwenyezi Mungu amejaaliwa mirathi ni moja kati ya sababu za kumiliki.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">c)<\/span>\u00a0Imekuwa kiwango cha mwanamke kuwa ni nusu ya kiwango anacho rithi mwanamume kwa sababu mwanamume ndiye mwenye majukumu mengi kuliko mwanamke ,mfano wa majukumu ulipaji wa mahari,matumizi ya nyumba na utazamaji wa wazee .<br \/>\nMbali na hayo tukiregea katika sharia za kiislamu tunapata mirathi ya mwanamke na mwanamume yapo kati hali thalathini na nne (34).<br \/>\n&#8211; Mwanamume hurithi sawa na mwanamke katika hali kumi (10).<br \/>\n&#8211; Mwanamke hurithi Zaidi ya mwanamume katika hali kumi (10).<br \/>\n&#8211; Mwanamke humzuia mwanamume kurithi katika hali kumi (10).<br \/>\n&#8211; Mwanamume hurithi Zaidi ya mwanamke katika hali nne (4).<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">d)<\/span>\u00a0Uislamu umempa kila mmoja kiwango maalum cha mirathi ili kuepuka ugomvi na ukatano wa kizazi.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">e)<\/span>\u00a0Mke wa marehemu anapewa kiwango maalum cha mirathi ni kuukirimu ushirikiano wa kindoa uliokuwepo .<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">HAKI AMBAZO ZINAAMBATANA NA MALI YA MAREHEMU.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">1.<\/span> Kukafiniwa (kununua sanda), kuchimbiwa kaburi\u00a0na mambo ambayo yanahusika na maiti (katika<br \/>\nmazishi).<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">2.<\/span> Kulipa deni adaiwalo.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">3.<\/span> Kutekeleza wasia ambao ameacha, na usizidi wasia\u00a0huo thuluthi moja ya mali.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">4.<\/span> Kugawanywa mali kwa wale wanaostahiki kurithi.<\/p>\n<blockquote><p>** Asili ya Mada hii ni kitabu Uadilifu wa Mirathi ndani ya Uislamu kilicho andikwa na\u00a0Manswab Mahsen \u00a0Abdulrahman Al-Ridai \u00a0Al Jufry<\/p><\/blockquote>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ELIMU YA MIRATHI Ni msingi unaojulikana katika kutimiza haki ya kila mwenye\u00a0kustahiki kurithi, kulingana na mafunzo na maadili ya\u00a0kiislamu. HEKIMA ILIYOTUMIKA KATIKA MIRATHI Mwenyezi Mungu amejaalia mirathi kuwa ni nidhamu\u00a0iliyonyooka na kuwa ni kanuni iliyo na hekima na\u00a0hupatikaniwa ndani yake Rehma na uadilifu. Hekima iliyotumika katika elimu ya mirathi Mwenyezi Mungu amefanya ugavi wa mirathi [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":20430,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[60],"tags":[],"class_list":["post-4865","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-somo-la-mirathi"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4865","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4865"}],"version-history":[{"count":4,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4865\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":20456,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4865\/revisions\/20456"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/20430"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4865"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4865"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4865"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}