{"id":4684,"date":"2021-06-17T08:47:48","date_gmt":"2021-06-17T08:47:48","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=4684"},"modified":"2021-10-06T12:37:21","modified_gmt":"2021-10-06T12:37:21","slug":"umujo-katika-uislamu-hussein-ali-omar-swidiq","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/umujo-katika-uislamu-hussein-ali-omar-swidiq\/","title":{"rendered":"UMUJO KATIKA UISLAMU- Hussein ali Omar swidiq"},"content":{"rendered":"<h3 style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #993300;\">UMUJO KATIKA UISLAMU<\/span><\/h3>\n<p>Baada ya kumuhimidi ALLAH na kumsifu na kumuombea rehma na amani kipenzi chake kiongozi wa waumini mtume wetu Muhammad \ufdfa na jamaa zake na maswahaba wake na kila aliefuata mwenendo wake mpaka siku ya malipo.<br \/>\nKwa hakika maudhi hii ya umoja katika uislamu au waislamu kuwa kitu kimoja ,nimoja kati ya maudhui muhimu sana haswa katika zama hizi tunazo ishi ,japo sio maudhui (geni ) mpya kuzungumzwa au hata kuandikwa imezungumzwa na wengi na kuandikwa pia na wengi na kila mmoja kwa namna yake na kwa misingi alio itegemea.<br \/>\nwapo walio andika wakiwa wamebebwa sana na hisia za kutaka tuwe kitu kimoja bila ya kuzingatia misingi na kanuni za kisheria zinazo weza kutuweka pamoja , wakawa na matarijio na matamanio yasio weza kufikika kwa kuutaka umoja..wakalisimamia la umoja kwa kuyahusisha makundi mbali mbali yenye mitazamo tofauti kati ya wenye kufuata muongozo wa Qur&#8217;ani na Sunna ya bwana Mtume\u00a0\ufdfana yale ambayo yako kinyume na msimamo huo wakawa na matumaini ya kuyaunganisha kuwa kitu kimoja kwa lengo la kutaka umoja wa waisilamu wakiamini kuwa haya tulio tafautiana ni mambo madogo tu na sio misingi katika dini na haya hayana athari lau tukawa pamoja.<br \/>\nNa wapo wenye kulingania umoja kwa ku ufunga katika mazingira madogo kwa namna ambao unaonekena kama ni jambo lisilo wezekana ispokuwa kwa nafasi ndogo mno.<br \/>\nNa kati ya hawa na hawa wapo wenye kulingania umoja kwa elimu na ujuzi na uadilifu,wana walingania umma kuwa kitu kimoja na kuisimamia haki ,wakalipa uzito jambo la kumfuata na kumtii kiongozi na jambo la kuwa kitu kimoja pamoja na kuzingatia kanuni na misingi ya itikadi na ya kisheria .<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\"><strong>MAKUSUDIO YA UMJOJA KATIKA UISLAMU<\/strong><\/span><\/p>\n<p>Umoja katika uislamu : ni mkusanyiko wa wanao jinasibisha na uislamu kwa misingi na kanuni za kisheria kupitia muongozo wa bwana mtume na wema walio tangulia, kwa lengo la kuisambaza dini na kukiinua kila cha<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">\u0644\u0627\u0625 \u0644\u0647 \u0627\u0644\u0627 \u0627\u0644\u0644\u0647 \u0645\u062d\u0645\u062f \u0631\u0633\u0648\u0644 \u0627\u0644\u0644\u0647<\/span><\/p>\n<p>na kuithibitisha makusudio ya aya katika Qur&#8217;ani:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: right;\"><span style=\"color: #008000;\">{\u0643\u064f\u0646\u062a\u064f\u0645\u0652 \u062e\u064e\u064a\u0652\u0631\u064e \u0623\u064f\u0645\u0651\u064e\u0629\u064d \u0623\u064f\u062e\u0652\u0631\u0650\u062c\u064e\u062a\u0652 \u0644\u0650\u0644\u0646\u0651\u064e\u0627\u0633\u0650 \u062a\u064e\u0623\u0652\u0645\u064f\u0631\u064f\u0648\u0646\u064e \u0628\u0650\u0627\u0644\u0652\u0645\u064e\u0639\u0652\u0631\u064f\u0648\u0641\u0650 \u0648\u064e\u062a\u064e\u0646\u0652\u0647\u064e\u0648\u0652\u0646\u064e \u0639\u064e\u0646\u0650 \u0627\u0644\u0652\u0645\u064f\u0646\u0643\u064e\u0631\u0650 \u0648\u064e\u062a\u064f\u0624\u0652\u0645\u0650\u0646\u064f\u0648\u0646\u064e \u0628\u0650\u0627\u0644\u0644\u0651\u064e\u0647\u0650 \u06d7 \u0648\u064e\u0644\u064e\u0648\u0652 \u0622\u0645\u064e\u0646\u064e \u0623\u064e\u0647\u0652\u0644\u064f \u0627\u0644\u0652\u0643\u0650\u062a\u064e\u0627\u0628\u0650 \u0644\u064e\u0643\u064e\u0627\u0646\u064e \u062e\u064e\u064a\u0652\u0631\u064b\u0627 \u0644\u0651\u064e\u0647\u064f\u0645 \u06da \u0645\u0651\u0650\u0646\u0652\u0647\u064f\u0645\u064f \u0627\u0644\u0652\u0645\u064f\u0624\u0652\u0645\u0650\u0646\u064f\u0648\u0646\u064e \u0648\u064e\u0623\u064e\u0643\u0652\u062b\u064e\u0631\u064f\u0647\u064f\u0645\u064f \u0627\u0644\u0652\u0641\u064e\u0627\u0633\u0650\u0642\u064f\u0648\u0646\u064e}\u00a0 \u00a0 \u00a0\u0622\u0644 \u0639\u0645\u0631\u0627\u0646:110<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\"><em>[Enyinyi ni umma bora muliotolewa katika watu ,muna amrishana mema na kukatazana mabaya na munamuamini mwenyezimgu, na lau wange amini waliopewa kitabu ingekuwa ni bora kwao,katika wao wapo waumini na wengi wao ni mafasiki]<\/em>. \u00a0 \u00a0[Al Imraan:110]<\/span><\/p>\n<p>Kwa hakika Allah amewasifu wamunini katika aya hii tukufu kwamba wao ni umma bora na lililo wapa ubora huu ni hizi sifa tatu ..kuamrishana mema \u2026kukatazana mabaya\u2026kumuamini mwenyezimgu, na maneno yote haya yamekuja kwa sifa ya ujumla ,hili linatuonyesha umuhimu wa umoja wao na kuafikiana kwao katika misingi ya dini.<br \/>\nNa umma kama aliovo uchambua AL mannawiy ..(kila umma walio jikusanya katika jambo Fulani ..sawa likiwa la kidini, au zama au sehemu moja ,sawa sawa ikiwa ni jambo la lazima au la kujichagulia.<br \/>\nUmma ulio jichagulia ni kila jamnii uliojikusanya katika imaani ya dini au dhehebu kama umma wa kiislamu au umma wa kiyahudi au umma wa kinaswara. ALLAH anasema akimfahamisha Mtume wake<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">{\u0641\u064e\u0643\u064e\u064a\u0652\u0641\u064e \u0625\u0650\u0630\u064e\u0627 \u062c\u0650\u0626\u0652\u0646\u064e\u0627 \u0645\u0650\u0646 \u0643\u064f\u0644\u0651\u0650 \u0623\u0645\u0651\u064e\u0629\u064d \u0628\u0650\u0634\u064e\u0647\u0650\u064a\u062f\u064d \u0648\u064e\u062c\u0650\u0626\u0652\u0646\u064e\u0627 \u0628\u0650\u0643\u064e \u0639\u064e\u0644\u064e\u0649 \u0647\u064e\u0640\u0624\u064f\u0644\u0627\u0621 \u0634\u064e\u0647\u0650\u064a\u062f\u0627\u064b} \u00a0 \u00a0[\u0633\u0648\u0631\u0629 \u0627\u0644\u0646\u0633\u0627\u0621: 41}<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\"><em>[Basi itakuwaje pindi tukiwaleta kutoka kila umma shahidi , na tukakutaka wewe kuwa shahidi wa hawa?. ]<\/em>\u00a0\u00a0 \u00a0\u00a0[Annisaa:41]<\/span><br \/>\nKwa hio waislamu ni umma mmoja kwa kuafikiana kwao katika misingi ya itikadi na ya kisheria japo wakitafautiana katika juziiyati (mambo yasio kuwa misingi).<\/p>\n<p>Itaendelea\u2026<br \/>\nImeandikwa na. Hussein ali Omar swidiq<\/p>\n<p>+255717755358\u00a0<span id=\"cloak8255\"><a href=\"mailto:..hussein_aliomar@yahoo.com\">..hussein_aliomar@yahoo.com<\/a><\/span><\/p>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMUJO KATIKA UISLAMU Baada ya kumuhimidi ALLAH na kumsifu na kumuombea rehma na amani kipenzi chake kiongozi wa waumini mtume wetu Muhammad \ufdfa na jamaa zake na maswahaba wake na kila aliefuata mwenendo wake mpaka siku ya malipo. Kwa hakika maudhi hii ya umoja katika uislamu au waislamu kuwa kitu kimoja ,nimoja kati ya maudhui [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":9094,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[98],"tags":[],"class_list":["post-4684","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-sehemu-ya-jamii"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4684","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4684"}],"version-history":[{"count":6,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4684\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":10860,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4684\/revisions\/10860"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/9094"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4684"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4684"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4684"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}