{"id":4680,"date":"2021-06-17T08:43:38","date_gmt":"2021-06-17T08:43:38","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=4680"},"modified":"2022-10-17T12:35:13","modified_gmt":"2022-10-17T12:35:13","slug":"kuunga-kizazi","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/kuunga-kizazi\/","title":{"rendered":"KUUNGA KIZAZI"},"content":{"rendered":"<h3><span style=\"color: #993300;\">KUUNGA KIZAZI<\/span><\/h3>\n<p>Amesema Mtume Muhammad\u00a0<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>\u00a0aliyesema [Hatoingia peponi anayewakata jamaa zake].<br \/>\nNa jamaa ya mtu ni mamake, babake, watoto wake na kila ambaye karibu naye kinasaba.<br \/>\nAya na hadithi zinazozungumzia jambo hili ni nyingi hebu niwatajie baadhi. Mola (Subhaanahu wa Taala) Amesema:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">\u0641\u064e\u0647\u064e\u0644\u0652 \u0639\u064e\u0633\u064e\u064a\u0652\u062a\u064f\u0645\u0652 \u0625\u0650\u0646 \u062a\u064e\u0648\u064e\u0644\u0651\u064e\u064a\u0652\u062a\u064f\u0645\u0652 \u0623\u064e\u0646 \u062a\u064f\u0641\u0652\u0633\u0650\u062f\u064f\u0648\u0627 \u0641\u0650\u064a \u0627\u0644\u0652\u0623\u064e\u0631\u0652\u0636\u0650 \u0648\u064e\u062a\u064f\u0642\u064e\u0637\u0651\u0650\u0639\u064f\u0648\u0627 \u0623\u064e\u0631\u0652\u062d\u064e\u0627\u0645\u064e\u0643\u064f\u0645\u0652} \u00a0 \u00a0\u0645\u062d\u0645\u062f:22<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\"><em>[Basi yanayo tarajiwa kwenu mkitawala ndio mfisidi katika nchi na mwatupe jamaa zenu?]\u00a0<\/em>\u00a0[Muhammad:22]<\/span><br \/>\nMtume\u00a0\ufdfa\u00a0miongoni mwa mambo aliyoyalingania mwanzo ni kumuabudu Mwenyezi Mungu na kuacha ibada za mababu, kuswali, kutoa sadaka, kujihifadhi na uchafu na kuunga jamaa. Na kuunga jamaa ni kuwafanyia wema na kutowaudhi. Pia ni katika kuwafanyia wema kuwapa nasaha, kuwapa ushauri, kuwapenda na kuwapendelea kheri, kuwafanyia uadilifu, kuwaelekeza, kuwafundisha, kuwapa haki zao za lazima na kuvumilia na kusubiri katika maudhi yao.<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\"><strong>FADHLA ZA KUUNGA KIZAZI<\/strong><\/span><\/p>\n<p>Kuunga jamaa kuna fadhila nyingi na katika fadhila hizo ni kuzidishiwa mtu umri wake na vile vile kukunjuliwa mali yake. Amesema Mtume\u00a0\ufdfa\u00a0:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">\u0645\u064e\u0646\u0652 \u0633\u064e\u0631\u0651\u064e\u0647\u064f \u0623\u064e\u0646\u0652 \u064a\u064f\u0628\u0652\u0633\u064e\u0637\u064e \u0644\u064e\u0647\u064f \u0641\u0650\u064a \u0631\u0650\u0632\u0652\u0642\u0650\u0647\u0650 \u0623\u064e\u0648\u0652 \u064a\u064f\u0646\u0652\u0633\u064e\u0623\u064e \u0644\u064e\u0647\u064f \u0641\u0650\u064a \u0623\u064e\u062b\u064e\u0631\u0650\u0647\u0650 \u0641\u064e\u0644\u0652\u064a\u064e\u0635\u0650\u0644\u0652 \u0631\u064e\u062d\u0650\u0645\u064e\u0647\u064f] \u00a0 \u00a0 \u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u0628\u062e\u0627\u0631\u064a \u0648\u0645\u0633\u0644\u0645]<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Anayependa kukunjuliwa riziki yake na kurefushiwa umri wake basi aunge jamaa zake].\u00a0\u00a0\u00a0[Imepokewa na Bukhari na Muslim]<\/span><br \/>\nNa kuunga jamaa kuna daraja kubwa katika Uislamu.<br \/>\nJe tumesimama katika mipaka ya Mwenyezi Mungu? Je tumetekeleza amri zake? Je makemeo yake na makatazo umeyaepuka? Je twawafanyia wema jamaa zetu na tunawatembelea ?<br \/>\nTunapo taka kheri duniani na kesho akhera tuungeni jamaa zetu na tukaeni nao vizuri.<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\"><strong>FAIDA YA KUUNGA KIZAZI<\/strong><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">1<\/span>. Kuunga jamaa ni alama kubwa za ukamilifu wa imani.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">2<\/span>. Kuunga jamaa ni sababu ya kukunjuliwa mtu katika riziki.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">3<\/span>. Kuunga jamaa ni sababu ya kupata radhi za Mwenyezi Mungu.<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\"><strong>NASWAHA ZA WATU WEMA JUU YA KUUNGA KIZAZI<\/strong><\/span><\/p>\n<p>Wema waliotangulia wametoa wasia unaoonesha umuhimu wa kuunga jamaa. Amesema\u00a0\u2018Umar ibn Khattwab,\u00a0Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: &#8220;Jifundisheni nasaba kisha muwafanyie wema jamaa zenu.&#8221;\u00a0Amesema\u00a0\u2018Atwaa ibn Abi Rabaa:\u00a0&#8220;Kutoa dirham kumpa jamaa yangu inapendeza zaidi kuliko kutoa dirhamu elfu kumpa maskini, mtu akamuuliza: Hata kama jamaa yako ni tajiri? Akasema \u2018Atwaa : Ndio, hata kama jamaa yangu ni tajiri&#8221;<br \/>\nVile vile amesema\u00a0Said ibn Musayyab\u00a0Mwenyezi Mungu amrehemu hakika aliwacha Dinari kadhaa:\u00a0&#8220;Ewe Mwenyezi Mungu hakika wewe wajua sikuyakusanya mali zangu isipokuwa kwa ajili ya kuhifadhi Dini yangu,. Hana kheri asiyekusanya mali yake kulipa deni lake na kuwafanyia wema jamaa zake\u201d.<br \/>\nNdugu katika Imani zama tunzao ishi tumeona namna Waislamu namna wanvyo katana na jamaa zao utapata ndugu hawaseshani wala hawajuni, nah ii ni hatari kubwa sana.<br \/>\nNiwajibu wa kila Muislamu kusimama na jukumu hili la kuunga kizazi chake ili awe ni mwenye kutekeleza Mamrisho ya Mwenzi Mungu na Mafundisho ya Bwana Mtume\u00a0\ufdfa\u00a0na apate radhi za Mwenzi Mungu na fadhla zake.<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\"><strong>HASARA YA KUWAFANYIA UBAYA JAMAA ZAKO<\/strong><\/span><\/p>\n<p>1. Kuwakata jamaa ni miongoni mwa sababu za mtu kutoingia peponi. Mtume \ufdfa Amesema ya kwamba:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u0644\u0627 \u064a\u062f\u062e\u0644 \u0627\u0644\u062c\u0646\u0629 \u0642\u0627\u0637\u0639] \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #ff6600;\">\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0645\u0633\u0644\u0645<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Hatoingia peponi mtu anayewakata jamaa zake].\u00a0\u00a0\u00a0<span style=\"color: #008000;\">[Imepokewa na Muslim]<\/span><\/span><br \/>\n2. Kupata laana ya Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala) Amesema kwenye Kitabu chake kitukufu:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: right;\"><span style=\"color: #008000;\">\u0641\u064e\u0647\u064e\u0644\u0652 \u0639\u064e\u0633\u064e\u064a\u0652\u062a\u064f\u0645\u0652 \u0625\u0650\u0646 \u062a\u064e\u0648\u064e\u0644\u0651\u064e\u064a\u0652\u062a\u064f\u0645\u0652 \u0623\u064e\u0646 \u062a\u064f\u0641\u0652\u0633\u0650\u062f\u064f\u0648\u0627 \u0641\u0650\u064a \u0627\u0644\u0652\u0623\u064e\u0631\u0652\u0636\u0650 \u0648\u064e\u062a\u064f\u0642\u064e\u0637\u0651\u0650\u0639\u064f\u0648\u0627 \u0623\u064e\u0631\u0652\u062d\u064e\u0627\u0645\u064e\u0643\u064f\u0645\u0652 \u0623\u064f\u0648\u0644\u064e\u0670\u0626\u0650\u0643\u064e \u0627\u0644\u0651\u064e\u0630\u0650\u064a\u0646\u064e \u0644\u064e\u0639\u064e\u0646\u064e\u0647\u064f\u0645\u064f \u0627\u0644\u0644\u0651\u064e\u0647\u064f \u0641\u064e\u0623\u064e\u0635\u064e\u0645\u0651\u064e\u0647\u064f\u0645\u0652 \u0648\u064e\u0623\u064e\u0639\u0652\u0645\u064e\u0649\u0670 \u0623\u064e\u0628\u0652\u0635\u064e\u0627\u0631\u064e\u0647\u064f\u0645\u0652} \u00a0 \u00a0\u0645\u062d\u0645\u062f:22-23}<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\"><em>[Ndiyo yanayotarajiwa kwenu kuleta uharibifu katika ardhi na kuwakata jamaa zenu wakati mukipata ukubwa. Hao ndio waliolaaniwa na Mwenyezi Mungu Akawatia uziwi masikio yao na akayapofua macho yao.]\u00a0<\/em>\u00a0 \u00a0\u00a0[Muhammad:22-23]<\/span><\/p>\n<p>Na kosa kubwa kabisa ni mtu kuwakata wazazi wake wawili kisha akawakata walio karibu zaidi naye. Mtume \ufdfa Amesema:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">[\u0623\u0644\u0627 \u0623\u062e\u0628\u0631\u0643\u0645 \u0628\u0623\u0643\u0628\u0631 \u0627\u0644\u0643\u0628\u0627\u0626\u0631 \u0642\u0627\u0644\u0648\u0627 \u0628\u0644\u0649 \u064a\u0627 \u0631\u0633\u0648\u0644 \u0627\u0644\u0644\u0647 \u0642\u0627\u0644 \u0627\u0644\u0625\u0634\u0631\u0627\u0643 \u0628\u0627\u0644\u0644\u0647 \u0648\u0639\u0642\u0648\u0642 \u0627\u0644\u0648\u0627\u0644\u062f\u064a\u0646] \u00a0 \u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u0628\u062e\u0627\u0631\u064a<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Je siwajulishi dhambi ambalo ni miongoni mwa madhambi makubwa kabisa? Wakasema maswahaba: Tujulishe ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu. Akasema Mtume \ufdfa: [Kumshirikisha Mwenyezi Mungu na kuwakata wazazi wawili].\u00a0\u00a0\u00a0<span style=\"color: #008000;\">[Imepokewa na Bukhari]<\/span><\/span><\/p>\n<p>3. Kufanyiwa haraka mtu kuadhibiwa hapa duniani kabla kuadhibiwa kesho akhera. Amesema Mtume \ufdfa:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: right;\"><span style=\"color: #008000;\">\u00a0\u0645\u0627 \u0645\u0646 \u0630\u0646\u0628 \u0623\u062c\u062f\u0631 \u0623\u0646 \u064a\u0639\u062c\u0644 \u0627\u0644\u0644\u0647 \u0644\u0635\u0627\u062d\u0628\u0647 \u0627\u0644\u0639\u0642\u0648\u0628\u0629 \u0641\u064a \u0627\u0644\u062f\u0646\u064a\u0627 \u0645\u0639 \u0645\u0627 \u064a\u062f\u062e\u0631\u0647 \u0644\u0647 \u0641\u064a \u0627\u0644\u0622\u062e\u0631\u0629 \u0645\u0646 \u0627\u0644\u0628\u063a\u064a \u0648\u0642\u0637\u064a\u0639\u0629 \u0627\u0644\u0631\u062d\u0645] \u00a0 \u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u062a\u0631\u0645\u0630\u064a \u0648\u0623\u0628\u0648\u062f\u0627\u0648\u062f]<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Hakuna kosa ambalo Mwenyezi Mungu analiharakisha zaidi adhabu yake kwa mwenye kulifanya duniani pamoja na kuwekewa adhabu nyingine akhera kuliko kuwakata jamaa na kufanya maasia]. \u00a0\u00a0[Imepokewa na Al Tirmidhiy na Abuu Daud]<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #333300;\"><strong>DARAJA ZA JAMAA YAKO<\/strong><\/span><\/p>\n<p>Hakika jamaa wana daraja tofauti tofauti katika kuishi nao:<\/p>\n<p>Jamaa wenye kushikamana na Dini na jamaa aina hii hufanyiwa wema kwa kule kushikamana kwao na Dini.<br \/>\nJamaa ambao wazushi ni katika Dini na wenye kufanya maovu. Na hawa wamegawanyika vigawanyo viwili:-<br \/>\nWanaotangaza bidaa na uzushi wao na maovu yao tena wanalingania kwenye uovu huo. Jamaa hao hupigwa vita kabisa kwa ajili ya kushikamana kwao na uovu. Inafaa kuwaonesha uso wa bashasha, lakini haifai kuwa nyoyo zetu haziko radhi nao moyoni kwa ule uovu wao. Ushahidi wa hilo ni kwamba Mtume \ufdfa: [Alimwonesha bashasha \u2018Uyaina ibn Hiswhiy aliyekuwa mtu muovu kabisa. Alipokuwa akibisha kwake huku akisema : Ni ndugu muovu katika jamii. Alipoingia Mtume alizungumza naye vizuri akasema: [Hakika tunawaonesha uso wa bashasha watu (waovu) na huku nyoyo zetu zawalaani].<\/p>\n<p>Jamaa wafichao bidaa na vitendo vyao viovu, jamaa aina hii hufanyiwa muamala wa Waislamu wasiojulikana maovu yao.<br \/>\nJamaa walio makafiri na wanafiki na jamaa aina hii wamegawanyika mara mbili:<br \/>\nJamaa wanaoupiga vita Uislamu jamaa aina hii hukatwa na hauwaungwi kwa ajili ya kuogopwa shari lao.<br \/>\nJamaa wasiopiga vita Dini yetu ya uislamu jamaa aina hii hufanyiwa wema kwa njia zifuatazo:<br \/>\nKuwalingania katika Uislamu kwa njia nzuri.<br \/>\nKuwaombea dua Mwenyezi Mungu Awaongoze katika Uislamu.<br \/>\nKuwasaidia wanapokuwa na shida na kuwafanyia wema kuwavutia katika Uislamu.<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\">Mwisho<\/span><\/p>\n<p>Tufahamu ya kuwa Jamaa ni msingi wa jamii ya kiislamu, na jamaa ikishikamana, jamii itashikamana. Tukifanya hivyo, tutaweza kujenga umma mmoja wa kiislamu, na kuanzishwa kwa serikali ya kiislamu. Bila ya kujenga msingi wa jamaa moja, hatuwezi kufikia lengo la kurejesha Ukhalifa katika ardhi. Ni jukumu la kila Muislamu kufanya bidii kuunga jamaa yake na kujenga jamii ya kiislamu iliyoshikamana. Tunamuomba Allah atuwezeshe kurejesha umoja wa kiislamu na Atujaalie ni wenye kuwatendea wema jamaa zetu na tufaulu kuipata pepo yake.<\/p>\n<hr \/>\n<p style=\"text-align: center;\">Sikiliza Mada hii na Sheikh Uthman Shee (Mungu amrahamu)<\/p>\n<hr \/>\n<p><audio style=\"display: block; margin: 9px auto;\" src=\"https:\/\/archive.org\/download\/KUUNGAKIZAZI\/KUUNGA%20KIZAZI.mp3\" controls=\"controls\"><\/audio><\/p>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KUUNGA KIZAZI Amesema Mtume Muhammad\u00a0\ufdfa\u00a0aliyesema [Hatoingia peponi anayewakata jamaa zake]. Na jamaa ya mtu ni mamake, babake, watoto wake na kila ambaye karibu naye kinasaba. Aya na hadithi zinazozungumzia jambo hili ni nyingi hebu niwatajie baadhi. Mola (Subhaanahu wa Taala) Amesema: \u0641\u064e\u0647\u064e\u0644\u0652 \u0639\u064e\u0633\u064e\u064a\u0652\u062a\u064f\u0645\u0652 \u0625\u0650\u0646 \u062a\u064e\u0648\u064e\u0644\u0651\u064e\u064a\u0652\u062a\u064f\u0645\u0652 \u0623\u064e\u0646 \u062a\u064f\u0641\u0652\u0633\u0650\u062f\u064f\u0648\u0627 \u0641\u0650\u064a \u0627\u0644\u0652\u0623\u064e\u0631\u0652\u0636\u0650 \u0648\u064e\u062a\u064f\u0642\u064e\u0637\u0651\u0650\u0639\u064f\u0648\u0627 \u0623\u064e\u0631\u0652\u062d\u064e\u0627\u0645\u064e\u0643\u064f\u0645\u0652} \u00a0 \u00a0\u0645\u062d\u0645\u062f:22 [Basi yanayo [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":9092,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[98],"tags":[],"class_list":["post-4680","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-sehemu-ya-jamii"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4680","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4680"}],"version-history":[{"count":5,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4680\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":16321,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4680\/revisions\/16321"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/9092"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4680"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4680"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4680"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}