{"id":4561,"date":"2021-06-16T20:35:12","date_gmt":"2021-06-16T20:35:12","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=4561"},"modified":"2022-09-21T12:02:31","modified_gmt":"2022-09-21T12:02:31","slug":"je-mtu-hulazimi-kuoga-janaba-anapo-muingilia-mkewe-kwa-nyuma","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/je-mtu-hulazimi-kuoga-janaba-anapo-muingilia-mkewe-kwa-nyuma\/","title":{"rendered":"JE MTU HULAZIMI KUOGA JANABA ANAPO MUINGILIA MKEWE KWA NYUMA?"},"content":{"rendered":"<h3><strong><span style=\"color: #993300;\">JE MTU HULAZIMI KUOGA ANAPO MUINGILIA MKEWE KWA NYUMA?<\/span><\/strong><\/h3>\n<p><span style=\"color: #008000;\">SWALI:<\/span> Mtu kumuingilia mkewe kwa tupu ya nyuma ni katika Madhambi Makubwa lakini mtu atakapo fanya hivyo hulazimika Kuoga kwa Mtazamo wa Mas&#8217;ala ya Fiqhi?<\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">JAWABU<\/span>:\u00a0Mtu anapo muingilia mkewe kwa nyuma,pamoja na kuwa amefanya dhambi kubwa, vile vile hulazimika Kuoga. Wamelielezea hilo wanachuoni wote wa Fiqhi, kwa sababu tupu ya nyuma ya hisabiwa ni tupu. Mtu anapo muingingilia mkewe kwa nyuma hulazimika kuoga wote wawili aliyemuingilia na aliyeingiliwa.<br \/>\nAsema\u00a0Imam Al-Nnawawiy Mungu amrehemu\u00a0katika kitabu chake &#8220;Sharh-Al Muhadhab &#8221; Tumetaja ya kuwa Madh&#8217;habu yetu kuwa kumuingia mwanamke katika tupu yake ya mbele au ya nyuma au tupu ya mwanamume na myama hulazimika kuoga japo kuwa hatashusha (kutokwa na Manii) na hii ndio Kauli ya jamhuri ya wanachuoni,toka kwa mwaswahaba na Taabi&#8217;iin&#8221;<\/p>\n<p>Na Amesema\u00a0Ibnu Qudaamah Mungu Amrehemu\u00a0katika kitabu chake Al-Mughniy &#8221; naye ni mwanchuoni wa Madhabu ya Hanbaliy &#8220;Na ni lazima Kuoga kwa kila mtu aliye Ingilia au aliyeingiliwa akiwa ni katika watu wanaolazimika Kuoga sawa iwe ni tupu ya mbele au ya nyuma aliyeingiliwa awe ni Mwanadamu au Mnyama,sawa awe yuko hai au ni Maiti, kwa Khiyari yake au ametendewa nguvu, akiwa Macho au amelela&#8221;<br \/>\nKwa hivyo mtu anapo Muingilia mkewe kwa nyuma pamoja na kuwa ni Madhambi makubwa ni lazima kwake kuleta toba na vile vile hulazimika kuoga Janaba kama tulivyo nukuu kwa Wanachuoni.<\/p>\n<p>Na Allah ndie Mjuzi zaidi<\/p>\n<hr \/>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JE MTU HULAZIMI KUOGA ANAPO MUINGILIA MKEWE KWA NYUMA? SWALI: Mtu kumuingilia mkewe kwa tupu ya nyuma ni katika Madhambi Makubwa lakini mtu atakapo fanya hivyo hulazimika Kuoga kwa Mtazamo wa Mas&#8217;ala ya Fiqhi? JAWABU:\u00a0Mtu anapo muingilia mkewe kwa nyuma,pamoja na kuwa amefanya dhambi kubwa, vile vile hulazimika Kuoga. Wamelielezea hilo wanachuoni wote wa Fiqhi, [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":15967,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[89],"tags":[],"class_list":["post-4561","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-mlango-wa-twahara-fatawa"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4561","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4561"}],"version-history":[{"count":6,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4561\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":16002,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4561\/revisions\/16002"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15967"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4561"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4561"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4561"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}