{"id":4544,"date":"2021-06-16T20:23:18","date_gmt":"2021-06-16T20:23:18","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=4544"},"modified":"2022-09-26T16:12:33","modified_gmt":"2022-09-26T16:12:33","slug":"alama-za-kubalighi-kisheria","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/alama-za-kubalighi-kisheria\/","title":{"rendered":"ALAMA ZA KUBALIGHI KISHERIA"},"content":{"rendered":"<h3><span style=\"color: #993300;\">ALAMA ZA KUBALIGHI KISHERIA<\/span><\/h3>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">SUALI:<\/span> Ni zipi alama za kubalaghi kwa mtoto za kisheria?<\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">JAWABU:<\/span> Kubaleghe kwa mtoto ni kutoka katika marhala ya utotoni na kuwa ni mwenye kukalifishwa na sharia na kuanza kuhisabiwa analolifanya. Kubaleghe kuna alama za Kimaumbile amabo za dhihiri kwa msichna na mvulana. Wanachuoni wamezitaja alama zinazo shirikiana kwa msichana na mvulana na alama zinazo wahusu wasichana peke yao.<\/p>\n<p>Ama alama zinazo shirikiana ni kama zifuatavyo:<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\">Alama ya Kwanza<\/span>:\u00a0Ni kuota, kutokwa na manii kwa mfulana na kwa masichana sawa akiwa amelala au akiwa macho kama ilivyo kuja katika aya<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\">Alama ya pili:\u00a0<\/span>Ni kumea nywele sehemu za siri, nyele zenye kunyolewa wala sio zile nywele khafifu.<\/p>\n<p>Na dalili ya alama hii ni kama ilivyo pokelewa kutoka kwa Mtume\u00a0<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>: Alipotaka Saa&#8217;ad bin Muaadh awatole hukumu mayahudi wa wabani Quraydha walipo fanya khiyana na Saa&#8217;ad akatoa hukmu wauliwe wanaume walio shiriki vitani na kufanywa mateka wake zao na watoto wao. Mtume<span style=\"color: #008000;\">\u00a0\ufdfa<\/span>\u00a0aliamuru kuangaliwa wale watoto walio kuwa wameshiriki kwenye vita wangaliwe ikiwa wameota nywele sehemu za siri wauliwe na ikiwa bado basi waachiliwe.<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\">Alama ya tatu:\u00a0<\/span>Mtoto kufika miaka kumi na tano kwa hisabu ya mwezi wa mtizamo. Kwa habari alioisimulia Ibnu Umar Radhi za Allah ziwe juu yake; alinikagua mimi Mtume\u00a0<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>\u00a0katika siku ya Uhud kwa ajili ya kupigana na mimi nikiwa na miaka kumi na nne hakuniruhusu na akankagua siku ya Khandaq nikiwa na miaka kumi na tano akaniruhusu.<\/p>\n<p>Ama alama zinazo husu msichana ni alama mbili<\/p>\n<p>Ya kwanza ni kutokwa na hedhi,kwa hadithi ya Mtume\u00a0<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>\u00a0\u00a0alipo sema:<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">\u00a0 \u00a0[\u0644\u0627 \u064a\u0642\u0628\u0644 \u0627\u0644\u0644\u0647 \u0635\u0644\u0627\u0629 \u0627\u0644\u062d\u0627\u0626\u0636 \u0625\u0644\u0627 \u0628\u062e\u0645\u0627\u0631] \u00a0 \u00a0 <span style=\"color: #ff6600;\">\u00a0\u0631\u0648\u0627\u0647 \u0627\u0644\u062a\u0631\u0645\u0630\u064a<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">[Mwenyezi Mungu hakubali swala ya aile na hedhi (msichana alie baleghe) ila kwa mtandio]\u00a0 \u00a0 \u00a0<span style=\"color: #008000;\">\u00a0[Impokelewa na Al-Ttirmidhiy.]<\/span><\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\">Na alama ya pili:<\/span> Nikushika mimba kwa sabubu Mwenyezi Mungu amejalia kuwa mtoto hutokana na maji ya mama na maji ya baba.<\/p>\n<p>Amasema Mwenyezi Mungu aliyetukuka :<\/p>\n<p dir=\"rtl\" style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">{\u062e\u064f\u0644\u0650\u0642\u064e \u0645\u0650\u0646 \u0645\u0651\u064e\u0627\u0621\u064d \u062f\u064e\u0627\u0641\u0650\u0642\u064d \u00a0\u064a\u064e\u062e\u0652\u0631\u064f\u062c\u064f \u0645\u0650\u0646 \u0628\u064e\u064a\u0652\u0646\u0650 \u0627\u0644\u0635\u0651\u064f\u0644\u0652\u0628\u0650 \u0648\u064e\u0627\u0644\u062a\u0651\u064e\u0631\u064e\u0627\u0626\u0650\u0628\u0650}<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\"><em>&#8220;Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.&#8221; \u00a0<\/em>\u00a0\u00a0 [Al-Twariq:6-7]<\/span><\/p>\n<p>Na alama hii huregelea katika ile alama ya kwanza nao ni kutokwa na manii tulio itaja mwanzo.<\/p>\n<p>Na Allah ndie mjuzi zaidi.<\/p>\n<hr \/>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ALAMA ZA KUBALIGHI KISHERIA SUALI: Ni zipi alama za kubalaghi kwa mtoto za kisheria? JAWABU: Kubaleghe kwa mtoto ni kutoka katika marhala ya utotoni na kuwa ni mwenye kukalifishwa na sharia na kuanza kuhisabiwa analolifanya. Kubaleghe kuna alama za Kimaumbile amabo za dhihiri kwa msichna na mvulana. Wanachuoni wamezitaja alama zinazo shirikiana kwa msichana na [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":15967,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[90],"tags":[],"class_list":["post-4544","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-mlango-wa-swala-fatawa-sw"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4544","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4544"}],"version-history":[{"count":5,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4544\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":16063,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4544\/revisions\/16063"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15967"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4544"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4544"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4544"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}