{"id":4398,"date":"2021-06-16T10:52:49","date_gmt":"2021-06-16T10:52:49","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=4398"},"modified":"2021-12-12T14:18:08","modified_gmt":"2021-12-12T14:18:08","slug":"dkt-gary-miller","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/dkt-gary-miller\/","title":{"rendered":"DKT. GARY MILLER"},"content":{"rendered":"<h3><span style=\"color: #993300;\">Dkt. Gary Miller<\/span><\/h3>\n<p>Huyu ni mwanahisabati\u00a0na mwanatheolojia wa\u00a0kutokea Canada. Alikuwa\u00a0akijitolea kufanya kazi za\u00a0kimishenari za Kikristo\u00a0katika maisha yake lakini\u00a0akaja kugundua mambo\u00a0mengi yenye mashaka katika\u00a0Biblia. Mwaka 1978 alianza\u00a0kuisoma Qur\u2019an akitaraji\u00a0atakutana na mchanganyiko\u00a0wa ukweli na uongo pia. Aligundua kwa mshangao\u00a0kuwa ujumbe uliobebwa\u00a0katika kitabu hiki cha Qur\u2019an\u00a0unaendana vilivyo na ule\u00a0ujumbe uliopatikana katika\u00a0Biblia baada ya kuchujwa.\u00a0Akawa Muislamu na tangia\u00a0hapo amekuwa ni mwenye kufanya mihadhara mbali mbali ya\u00a0umma kuhusu Uislamu akitokea katika redio na televisheni pia.\u00a0Vile vile ni mtunzi na wa makala nyingi za kiislamu. Akiwa na\u00a0mtaalamu wa hisabati katika Chuo Kikuu cha Toronto, aghalabu\u00a0amekuwa ni mwenye kuchambua jambo kwa utaalamu wa hali ya\u00a0juu. Na hivyo, Gary Miller akafanya uchanganuzi wake kwa aya\u00a0za Qur\u2019an na matokeo yakawa ni kujisalimisha kwa mtunzi wake.\u00a0Hii ni moja ya aya za kitabu hiko:<\/p>\n<p><em>[Hebu hawaizingatii hii Qur&#8217;ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi]<\/em>\u00a0 \u00a0[Q 4:82]<\/p>\n<p>Akiongelea aya hii, Dkt. Miller anasema:\u00a0\u201cMoja ya kanuni kubwa ya kisayansi ni ile kanuni ya kutafuta\u00a0makosa, au kuangalia dosari katika nadharia mbalimbali mpaka\u00a0itapowekwa sawa (Falsification Test). Cha kushangaza kitabu\u00a0hiki cha Qur\u2019an tukufu kinawauliza Waislamu na wasio Waislamu\u00a0wajaribu kutafuta makosa ndani yake na kuwahahkikishia\u00a0kuwa hawatapata hitilafu hata kidogo\u2026Hakuna mwandishi\u00a0yeyote hapa duniani mwenye ujasiri wa kuandika kitabu na\u00a0kusema hakina makosa, lakini Qur\u2019an imediriki kusema haina\u00a0makosa na inakushajihisha ujaribu kutafuta kama utapata hata\u00a0moja.\u201d<\/p>\n<p>Mwaka 1977, Profesa Miller\u00a0(akiwa bado Mkristo)\u00a0alifanya dahalo\u00a0wa kidini na\u00a0mwanachuoni\u00a0mashuhuri\u00a0wa kiislamu\u00a0A h m e d\u00a0Deedat. Na\u00a0i l i p o t i m u\u00a01978, baada\u00a0ya kupokea\u00a0dalili nyingi zaidi\u00a0zioneshazo ukweli wa\u00a0Ui s l amu, Professa Miller aliamua\u00a0kuwa Muislamu na kuchukua jina la Abdul-Ahad likimaanisha\u00a0\u2018Mja wa Aliye Mmoja (yaani mja wa Mungu)\u2019. Amefanya kazi\u00a0kwa miaka kadhaa katika Chuo Kikuu cha Mafuta na Madini,Saudi Arabia na kujitolea maisha yake katika kuuhubiri Uislamu\u00a0kupitia vipindi vya televisheni na mihadhara ya wazi. Gary Miller\u00a0ametunga makala mbali mbali kuhusu masuala ya dini.**<\/p>\n<blockquote><p>** Hii ilikuwa ni Dondoo (excerpt) ya kitabu cha Salim Boss kiitwacho\u201cWao Ima ni Waerevu Mno au Wajinga Mno\u201d chenye kurasa 672 zote zimechapishwa kwa rangi (full colour). Ni tarjama ya kitabu kilichouzika sana kiitwacho \u201cThey are Either Extremely Smart or Extremely Ignorant\u201d \u00a0Kwa usomaji wa ziada tembelea www.extremelysmart.org au www.facebook.com\/muerevumno \u201c**<\/p><\/blockquote>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Dkt. Gary Miller Huyu ni mwanahisabati\u00a0na mwanatheolojia wa\u00a0kutokea Canada. Alikuwa\u00a0akijitolea kufanya kazi za\u00a0kimishenari za Kikristo\u00a0katika maisha yake lakini\u00a0akaja kugundua mambo\u00a0mengi yenye mashaka katika\u00a0Biblia. Mwaka 1978 alianza\u00a0kuisoma Qur\u2019an akitaraji\u00a0atakutana na mchanganyiko\u00a0wa ukweli na uongo pia. Aligundua kwa mshangao\u00a0kuwa ujumbe uliobebwa\u00a0katika kitabu hiki cha Qur\u2019an\u00a0unaendana vilivyo na ule\u00a0ujumbe uliopatikana katika\u00a0Biblia baada ya kuchujwa.\u00a0Akawa Muislamu na tangia\u00a0hapo amekuwa [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":12155,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[84],"tags":[],"class_list":["post-4398","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-walio-ongoka"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4398","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4398"}],"version-history":[{"count":5,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4398\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":12158,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4398\/revisions\/12158"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/12155"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4398"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4398"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4398"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}