{"id":4283,"date":"2021-06-16T08:17:11","date_gmt":"2021-06-16T08:17:11","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=4283"},"modified":"2021-10-06T12:36:41","modified_gmt":"2021-10-06T12:36:41","slug":"itikadi-ya-mashia-juu-ya-udongo-wa-karbalaa","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/itikadi-ya-mashia-juu-ya-udongo-wa-karbalaa\/","title":{"rendered":"ITIKADI YA MASHIA JUU YA UDONGO WA KARBALAA"},"content":{"rendered":"<h3 style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #993300;\">NI IPI ITIKADI YA UDONGO WANAYOAMINI MASHIA?<\/span><\/h3>\n<p>Makusudio ya udongo katika itikadi ya Raafidhwah, ni udongo wa kaburi ya Husayn (Radhiya Allaahu \u00b4anhu) ameeleza mmoja wa wapotevu miongoni mwao aitwae Muhammad An-Nu\u2019umaan Al-Haarithiy, ambae wanamuita \u2018Ash-Shaykh Al-Mufiyd\u2019 katika kitabu chake \u2018Al-Mazaar\u2019 imepokewa kutoka kwa Abu \u00b4Abdillaah kwamba amesema: &#8220;Katika udongo wa kaburi ya Husayn, kunapatikana ponyo la kila maradhi, nao ndio dawa iliyo kubwa kabisa.\u201d<\/p>\n<p>Na amesema \u00b4Abdullaah: \u201cWafanyieni tahniki (yaani watilieni mdomoni mara tu baada ya kuzaliwa kwao) watoto wenu kwa udongo wa kaburi la Husayn.\u201d<\/p>\n<p>Na akasema vilevile: \u201cAlitumiwa \u00b4Abdul-Husayn Ar-Ridhwaa mzigo (furushi la nguo) kutoka Khurasaan ndani yake mkiwa na udongo, akaulizwa alietumwa mzigo huo, ni kitu gani hiki? Akasema: \u201cHuu ni udongo kutoka katika kaburi la Husayn.\u201d<\/p>\n<p>Hapakuwa panatumwa mzigo wowote isipokuwa ndani yake panawekwa udongo, anasema: Udongo huu ni amani kwa idhini ya Allaah.<br \/>\nNa inasemakana kwamba mtu mmoja alimuuliza Asw-Swaadiq (Abu \u2018Abdillaah) kuhusu kutumia udongo wa kaburi la Husayn, akajibu kumwambia: Pindi utakapoula basi sema hivi: \u201cEwe Mola wangu hakika mimi nakuomba kwa haki ya ufalme ulioushika, na kwa haki ya Mtume aliyehifahiwa, nakuomba umpe Rahma Muhammad (\ufdfa) pamoja na watu wa nyumba yake, na Ujaalie udongo huu kuwa ni ponyo la kila ugonjwa, na uwe ni kitulizo cha amani kutokana na kila khofu, na ni ulinzi kutokana na kila baya.\u201d<\/p>\n<p>Pia Raafidhwah wanadai kwamba, Mashia wameumbwa kwa udongo maalum, na Sunni wameumbwa kwa udongo mwengine kisha ukachanganywa udongo huo wote, basi maasi na maovu yanayofanya Mshia yeyote ni kutokana na athari ya udongo walioumbiwa Masunni. Na kheri na uongofu anaekuwanayo Sunni yeyote ni kutokana na athari za Udongo walioumbwa Shia. Pindi itakapofika siku ya Qiyaamah, basi maovu ya Mashia watabebeshwa Masunni, na mema ya Masunni watapewa Shia. (1) *<\/p>\n<blockquote><p>1) \u2018Ilalu Ash-Sharaai\u2019 uk. 490-491. Bihaarul-Anwaar 5\/247-248.<\/p>\n<p>*\u00a0* MIONGONI MWA ITIKADI\u00a0 ZA MASHIA \u2018Abdullaah Bin Muhammad As- Salafiy Uk \/ 25<\/p><\/blockquote>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NI IPI ITIKADI YA UDONGO WANAYOAMINI MASHIA? Makusudio ya udongo katika itikadi ya Raafidhwah, ni udongo wa kaburi ya Husayn (Radhiya Allaahu \u00b4anhu) ameeleza mmoja wa wapotevu miongoni mwao aitwae Muhammad An-Nu\u2019umaan Al-Haarithiy, ambae wanamuita \u2018Ash-Shaykh Al-Mufiyd\u2019 katika kitabu chake \u2018Al-Mazaar\u2019 imepokewa kutoka kwa Abu \u00b4Abdillaah kwamba amesema: &#8220;Katika udongo wa kaburi ya Husayn, kunapatikana [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":10716,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[81],"tags":[],"class_list":["post-4283","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-itikadi-za-mashia"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4283","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=4283"}],"version-history":[{"count":4,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4283\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":10759,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/4283\/revisions\/10759"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/10716"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=4283"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=4283"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=4283"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}