{"id":25216,"date":"2025-11-13T09:44:24","date_gmt":"2025-11-13T09:44:24","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=25216"},"modified":"2025-11-13T10:21:44","modified_gmt":"2025-11-13T10:21:44","slug":"tangazo-la-kuwazuuia-waislamu-na-msikiti-wa-makkah","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/tangazo-la-kuwazuuia-waislamu-na-msikiti-wa-makkah\/","title":{"rendered":"TANGAZO LA KUWAZUUIA WAISLAMU NA MSIKITI WA MAKKAH"},"content":{"rendered":"<p>Ulifika wakati <span style=\"color: #ff6600;\">Saad bin Muadhi<\/span> aliondoka Madina kuelekea Makka kwa madhumuni ya kwenda kutekeleza<br \/>\nibada ya Umrah na alipofika huko alifikia kwa <span style=\"color: #ff6600;\">Umayya bin Khalaf,<\/span> akasema kumwambia Umayya; &#8220;Niangalilie muda mzuri usio na ghasia ili nikatufu na nikaizunguuke Al-Ka&#8217;aba kwa nafasi.&#8221; Akatoka naye wakati wa mchana, huko akakutana na <span style=\"color: #ff6600;\">Abu Jahli<\/span> ambaye alimwuliza; \u201dEwe Abu Swafwan ni nani huyu uliye pamoja naye?.&#8217; Akajibiwa; Ni Saad.\u2019 <span style=\"color: #ff6600;\">Abu Jahli<\/span> akasema, \u201dNinakuona unatufu Makka na hali ukiwa katika amani na hali huko kwenu mmewahifadhi watu ambao wameacha dini yetu na mmedai kuwa nyinyi<br \/>\nmnawasaidia; Ninaapa kwa jina la Mwenyezi Mungu kuwa kama usingekuwa pamoja na<span style=\"color: #ff6600;\"> Abu Swafwani,<\/span> usingerejea kwa watu wako salama.\u201d Saad akamjibu kwa sauti kali bila woga, \u201dKwa jina la Mwenyezi Mungu iwapo utamzuia na jambo hili basi na mimi nitakuzuia wewe na jambo ambalo ni kubwa<br \/>\nkwako kuliko hili, nalo ni njia yako ya kuelekea Madina. (1)<\/p>\n<p><span style=\"color: #993300;\"><strong>Makuraishi Wanawatisha Muhajirina<\/strong><\/span><br \/>\nMakuraishi walipeleka ujumbe kwa Waislamu wakiwaambia: \u201dMsihadaike kuwa eti mmesalimika kwa<br \/>\nkutoka kwetu kwenda Yathrib. Tutakuja, tutawamaliza na tutayaharibu mafanikio yenu kwenye mji wenu.&#8221;(1)<br \/>\nMakamio haya hayakuwa ya maneno matupu, yalithibitika kwa Mtume <span style=\"color: #008000;\">((<strong>\ufdfa<\/strong>) )<\/span> kwa vituko vya Makuraishi.<br \/>\nMakuraishi walifanya mambo mengi katika kuikusudia shari. Mambo ambayo yalimlazimisha Mjumbe wa Mwenyezi Mungu <span style=\"color: #008000;\">(<strong>\ufdfa<\/strong>)<\/span> kutokuupitisha usiku amelala, isipokuwa kukesha akiwa ka\ufb01ka ulinzi pamoja na Masahaba wake.<br \/>\nKatika Sahihi Muslim, amepokea kutoka kwa <span style=\"color: #ff6600;\">Aisha<\/span> (Radhi za Allah ziwe juuu yake.) kuwa<br \/>\nalisema: \u201dBaada ya kufika kwake Madina usiku mmoja Mtume wa Mwenyezi Mungu <span style=\"color: #008000;\">(<strong>\ufdfa<\/strong>)<\/span> alikesha na akasema; \u2019Natamani kungekuwa na mtu mwema miongoni mwa Masahaba zangu ili anilinde usiku huu. Aisha (Radhi za Allah ziwe juuu yake) akaendelea kusema: \u2019Wakati sisi tumo katika hali hiyo gha\ufb02a tukasikia mshindo wa silaha.\u2019 Mtume wa Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #008000;\"><strong>\ufdfa<\/strong><\/span>) akamwuuliza <span style=\"color: #ff6600;\">Saad bin Abi Waqass,<\/span><br \/>\nJambo gani limekuleta?.\u2019 Akasema: \u2019Nilikhofu mtu asije akakudhuru, kwa hiya nimekuja kukulinda. Mtume wa Mwenyezi Mung (<span style=\"color: #008000;\"><strong>\ufdfa<\/strong><\/span>) akamwombea dua kisha akalala. (3)<\/p>\n<p>Ulinzi huu ulikuwa wa kuendelea. Imepokewa kutoka kwa Aisha (Radhi za Allah ziwe juuu yake),<br \/>\nMtume wa Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #008000;\"><strong>\ufdfa<\/strong><\/span>) alikuwa akilindwa usiku mpaka ilipoteremka kauli ya Mwenyezi Mungu isemayo:<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">&#8220;\u0648\u064e\u0627\u0644\u0644\u0651\u064e\u0647\u064f \u064a\u064e\u0639\u0652\u0635\u0650\u0645\u064f\u0643\u064e \u0645\u0650\u0646\u064e \u0627\u0644\u0646\u0651\u064e\u0627\u0633\u0650&#8221;<\/span><\/p>\n<p style=\"text-align: left;\"><span style=\"color: #0000ff;\">\u201d&#8230;<em>Na Mwenyezi Mungu Atakulinda na watu<\/em>&#8230;\u201d<\/span> (5:67) \u2018<br \/>\nMtume wa Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #008000;\"><strong>\ufdfa<\/strong><\/span>) alichungulia nje akiwa Quba akawaambia, \u201dEnyi watu nendeni zenu, hakiki Mwenyezi Mungu Ananilinda. &#8221; (4)<br \/>\nMaisha ya Mtume (s.a.w) hayakuwa hatarini tu, bali njama za maadui zilikusudiwa Waislamu wote. Imepokewa na <span style=\"color: #ff6600;\">Ubayi bin Kaabi<\/span> (Radhi za Allah ziwe juuu yake), Mtume wa Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #008000;\"><strong>\ufdfa<\/strong><\/span>) na<br \/>\nMasahaba wake walipofika Madina walihifadhiwa na An\u00e9war, na walikuwa na ulinzi wa kutosha.\u2019 Mtume (s.a.w) aliwafanya wakawa wamoja na wakawa wanawapiga maadui zao wakati mmoja na silaha zao zikiwa tayari kwa mapigano wakati wowote ule.<\/p>\n<hr \/>\n<h5><strong><span style=\"color: #ff6600;\"><em>1) Sahihil Bukhari, Iuzuu 2, Uk. 563.<\/em><\/span><\/strong><\/h5>\n<h5 id=\"ezoic-pub-ad-placeholder-127\" data-inserter-version=\"2\"><strong><span style=\"color: #ff6600;\"><em>2) Rahmatun Lil \u2019Alamin, Iuzuu 1, Uk. 116.<\/em><\/span><\/strong><\/h5>\n<h5><strong><span style=\"color: #ff6600;\"><em>3) Sahihil Muslim, Iuzuu 2, Uk. 280. Sahihil Bukhari, Iuzuu 1, Uk. 404.<\/em><\/span><\/strong><\/h5>\n<h5><strong><span style=\"color: #ff6600;\"><em>4) Jami&#8217;u Ttirmidhy, Iuzuu 2, Uk. 130.<\/em><\/span><\/strong><\/h5>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Ulifika wakati Saad bin Muadhi aliondoka Madina kuelekea Makka kwa madhumuni ya kwenda kutekeleza ibada ya Umrah na alipofika huko alifikia kwa Umayya bin Khalaf, akasema kumwambia Umayya; &#8220;Niangalilie muda mzuri usio na ghasia ili nikatufu na nikaizunguuke Al-Ka&#8217;aba kwa nafasi.&#8221; Akatoka naye wakati wa mchana, huko akakutana na Abu Jahli ambaye alimwuliza; \u201dEwe Abu [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":15476,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-25216","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-sera-ya-mtume"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/25216","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=25216"}],"version-history":[{"count":4,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/25216\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":25221,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/25216\/revisions\/25221"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15476"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=25216"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=25216"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=25216"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}