{"id":25106,"date":"2025-10-27T09:52:04","date_gmt":"2025-10-27T09:52:04","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=25106"},"modified":"2025-10-27T10:07:05","modified_gmt":"2025-10-27T10:07:05","slug":"mkataba-wa-kiislamu","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/mkataba-wa-kiislamu\/","title":{"rendered":"MKATABA WA KIISLAMU"},"content":{"rendered":"<hr \/>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"font-size: 18pt; color: #ff6600;\">AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM<\/span><\/p>\n<hr \/>\n<p>Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) alianzisha kanuni ya udugu miongoni mwa waumini, hivyo alikuwa makini kuanzisha mahusiano ya kidugu kati ya Waislam na wasiokuwa Waislamu miongoni mwa makabila ya Kiarabu. Alianzisha aina ya Mkataba uliokuwa na madhumuni ya kuondoa uhasama kati ya Makabila.<\/p>\n<p>Alikuwa makini sana kutoacha mwanya katika mkaraba huo ili mambo ya Jahiliya yasiharibu mazingira mapya aliyokuwa anayajenga.<br \/>\nKwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.<\/p>\n<p>Huu ni Mkataba kutoka kwa Muhammad, Mjumbe wa Allah kuhusu Muhajirina na Answaar<br \/>\nna Wale waliokuwa nao. Hapa tutapitia baadhi ya vifungu:<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">1.<\/span> Kwa hakika wao ni umma mmoja ukiwatoa watu wengine.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">2.<\/span> Muhajirina ka\ufb01ka Makuraishi ni juu yao kutoleana malipo kati yao \u2014 wakati wamekosa \u2014 na watamkomboa mhalifu wao, kati ya waumini, kwa wema na uadilifu. Kila kabila katika<br \/>\nAnswaar watakuwa juu yao, kutoleana malipo ya makosa &#8211; malipo yao ya mwanzo na kila kundi katika wao watamkomboa mateka wao, kati ya waumini, kwa wema na uadilifu.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">3.<\/span> Waumini hawatamwacha mwenye deni kati yao, isipokuwa watampa cha kujikombolea kwa wema au malipo ya uhalifu.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">4.<\/span> Kuwa Wachamungu katika Waumini watakuwa dhidi ya yule ambaye amefanya uovu miongoni mwao au anaetaka kufanya dhulma au dhambi au uadui an ufisadi kwa waumini.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">5.<\/span> Yeyote anayeasi au anayetaka kueneza uadui, Mikono (Nguvu za) ya Waumini itakuwa dhidi yake-hata akiwa ni mwanae.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">6.<\/span> Muumni hatomwuwa Muumini mwenziwe;<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">7.<\/span> Muumini hatomuunga mkono Ka\ufb01ri dhidi ya Muumini mwenzake.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">8.<\/span> Kwamba Ulinzi wa Mwenyezi Mungu&#8217; ni mmoja na pia huwafikia Waumini wanyenyekevu.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">9.<\/span> Kwamba yeyote miongoni mwa Mayahudi atakaefuata Uislamu atasaidiwa, hatodhuriwa na adui hatosaidiwa dhidi yake.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">10.<\/span> Amani ya Waumini ni moja haigawiki; Haifanywi amani wakati Waumini wanapigana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Masharti ya kuwepo amani ni uadilifu na usawa.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">11.<\/span> Kwamba Waumini hawatamwacha mwenzao masikini bila ya kumlipia \ufb01dia, au fidia ya kuuawa kwa mtu.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">12.<\/span> Muhajirina waungane pamoja na walipane fidia, na wawaache huru mateka wa kivita.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">13.<\/span> Kumwuwa Muumini kwa makusudi bila sababu inayokubalika atachukuliwa kisasi isipokuwa walii wa<br \/>\nmwenye kuuwawa atakapoamua vinginevyo.<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">14 .<\/span> Waumini ni juu yao wote hayo na si halali kwao ila kufanya.<br \/>\n15. Kwa hakika si halali kwa Muumini kumnusuru mhalifu na kumpa hifadhi na kuwa mwenye kumnusuru au kumhifadhi,<br \/>\natapata laana na ghadhabu za Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #0000ff;\">\ufdfb<\/span>) siku ya Qiyama. Na Toba yake haitapokelewa.<br \/>\n16. Waka\ufb01 wowote mtakapotofautiana katika jambo marejeo yenu ni kwa Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #0000ff;\">\ufdfb<\/span>) na kwa Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>). (1)<\/p>\n<div>\n<hr \/>\n<\/div>\n<div><em><span style=\"color: #ff6600;\">1) Ibn Hisham, Juzuu 1, Uk. 502-503<\/span><\/em><\/div>\n<div>\n<hr \/>\n<\/div>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Mtume (\ufdfa) alianzisha kanuni ya udugu miongoni mwa waumini, hivyo alikuwa makini kuanzisha mahusiano ya kidugu kati ya Waislam na wasiokuwa Waislamu miongoni mwa makabila ya Kiarabu. Alianzisha aina ya Mkataba uliokuwa na madhumuni ya kuondoa uhasama kati ya Makabila. Alikuwa makini sana kutoacha mwanya katika mkaraba huo ili mambo ya Jahiliya yasiharibu [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":15476,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-25106","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-sera-ya-mtume"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/25106","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=25106"}],"version-history":[{"count":5,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/25106\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":25114,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/25106\/revisions\/25114"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15476"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=25106"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=25106"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=25106"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}