{"id":17564,"date":"2022-11-08T08:42:32","date_gmt":"2022-11-08T08:42:32","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=17564"},"modified":"2022-11-08T08:42:36","modified_gmt":"2022-11-08T08:42:36","slug":"abu-twalib-anawakusanya-banu-hashim-na-banu-abdil-muttalib","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/abu-twalib-anawakusanya-banu-hashim-na-banu-abdil-muttalib\/","title":{"rendered":"ABU TWALIB ANAWAKUSANYA BANU HASHIM NA BANU ABDIL MUTTALIB"},"content":{"rendered":"<hr \/>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"font-size: 18pt; color: #ff6600;\">AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM<\/span><\/p>\n<hr \/>\n<p>Pamoja na hali na mazingira yake kubadilika, Abu Twalib hakuacha kuwa na khofu juu ya nini watafanya Mushirikina dhidi ya mtoto wa ndugu yake. Kwani alikuwa akiyaangalia matukio yote yaliyopita, hasa kwa kuzingatia\u00a0 kuwa Mushirikina walimtishia kuwa kama ataend\u00e9lea kumuunga mkono Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) watagombana naye.<\/p>\n<p><span style=\"color: #000000;\">Hawakukata<\/span> tamaa, baadae walifanya mbinu za kutaka makubaliano ya kubadilishana mtoto wa ndugu yake na \u2018Umara bin Al-Walid ili wamuue. Upo wakati Abu Jahal alikwenda kwa mtoto wa ndugu yake na jiwe kubwa ili amponde na alikuwa aki\ufb01kiri pia jinsi <span style=\"color: #ff6600;\">\u2018Utbah bin Uqba bin Abi \u2018Mu&#8217;ait<\/span> alivyotaka kumnyonga mtoto wa ndugu yake kwa shuka yake, na kukaribia kumwua.<\/p>\n<p>Iko siku<span style=\"color: #ff6600;\"> Ibn Al-Khattab<\/span> alikuwa ametoka na upanga kwa madhumuni ya kwenda kummaliza mtoto wa ndugu yake. Abu Twalib alikuwa akiyazingatia matukio yote haya. Kila alipohisi hisia za shari moyo wake ulitetemeka sana, hasa ukizingatia kuwa kulikuwa na fumunu kuwa Mushirikina walikuwa wanafikiria kuvunja ahadi waliyowekeana ya kutomdhuru mtoto wa ndugu yake na kuwa wanapanga kumwua.<\/p>\n<p>Yeye alikuwa anawaza kuwa <span style=\"color: #000000;\">Hamza<\/span> au <span style=\"color: #000000;\">Umar<\/span> peke yao, au wasiokuwa hao hawatoshi kumlinda mtoto wa ndugu yake, iwapo mmoja miongoni mwa Washirikina atafanya mashambulizi dhidi ya Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>). Jambo hili lilikuwa na nguvu kwa Abu \u2018Twalib na haikuwa isipokuwa ni kweli tupu, kwani Mushirikina walikuwa tayari wamekwisha kubaliana kumwua Mtume wa Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) bila ya ki\ufb01cho, na makubaliano hayo yaliletwa kama ishara katika kauli yake Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfb<\/span>).<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">\u0623\u064e\u0645\u06e1 \u0623\u064e\u0628\u06e1\u0631\u064e\u0645\u064f\u0648\u0653\u0627\u0652 \u0623\u064e\u0645\u06e1\u0631\u0657\u0627 \u0641\u064e\u0625\u0650\u0646\u0651\u064e\u0627 \u0645\u064f\u0628\u06e1\u0631\u0650\u0645\u064f\u0648\u0646\u064e<\/span><\/p>\n<p><em><span style=\"color: #0000ff;\">\u201d Ndiyo wameweza (wabaya hao) &#8220;kupitisha amri (yao) au sisi ndio wapitishuji (wa kila tunalolitaka)? (Bali sisi ndio wapitishao tunayoyataka) (43:79)<\/span> <\/em><\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">Abu Twalib<\/span> alikuwa akijiuliza atafanya nini iwapo mambo yatakuwa ndiyo hayo? Kwa hakika, alipoona Makuraishi wanakusanyika dhidi ya mtoto wa ndugu yake, aliamua kuwategemea zaidi watu wa nymnbani kwake, miongoni mwa Banu&#8217;Hashim na Banu Al-Mutwah&#8217;b, watoto wa Abdi Mana\ufb01 na akawashirikisha katika lile ambalo yeye alikuwa tayari amekwisha kuliazimia, katika kumlinda mtoto wa ndugu yake na kusimama nyuma yake. Waliomwi\ufb01kia kwenye hilo ni pamoja na Waislamu, miongoni mwa Williokuwa maka\ufb01ri kwa sababu ya ari na Ujirani wa Kiarabu, isipokuwa ndugu yake .Abu Lahb, yeye alijitenga nao, na ikaunugana pamoja na Makuraishi katika njama zao. (1)*<\/p>\n<div>\n<hr \/>\n<\/div>\n<div><span style=\"color: #ff6600;\"><em>1) Ibnu Hishaam Juzaa 1, Uk 269. Mukhtasar Siratu Rasul Uk. 106<\/em><\/span><\/div>\n<div><span style=\"color: #ff6600;\"><em>2) Arrahiiq Al Makhtuum, Uk 189-191<\/em><\/span><\/div>\n<hr \/>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Pamoja na hali na mazingira yake kubadilika, Abu Twalib hakuacha kuwa na khofu juu ya nini watafanya Mushirikina dhidi ya mtoto wa ndugu yake. Kwani alikuwa akiyaangalia matukio yote yaliyopita, hasa kwa kuzingatia\u00a0 kuwa Mushirikina walimtishia kuwa kama ataend\u00e9lea kumuunga mkono Mtume (\ufdfa) watagombana naye. Hawakukata tamaa, baadae walifanya mbinu za kutaka makubaliano [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":15476,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-17564","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-sera-ya-mtume"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/17564","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=17564"}],"version-history":[{"count":2,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/17564\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":17566,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/17564\/revisions\/17566"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15476"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=17564"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=17564"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=17564"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}