{"id":15427,"date":"2022-09-12T12:23:58","date_gmt":"2022-09-12T12:23:58","guid":{"rendered":"https:\/\/uongofu.com\/?p=15427"},"modified":"2022-09-14T08:54:34","modified_gmt":"2022-09-14T08:54:34","slug":"uamuzi-wa-madhalimu-kumwua-mtume-%ef%b7%ba","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/uongofu.com\/en\/uamuzi-wa-madhalimu-kumwua-mtume-%ef%b7%ba\/","title":{"rendered":"UAMUZI WA MADHALIMU KUMWUA MTUME \ufdfa"},"content":{"rendered":"<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"font-size: 18pt; color: #0000ff;\">AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM<\/span><\/p>\n<hr>\n<p>Mipango yote ya Makuraishi na njama zao zilishindwa, sasa waliamua kurejea kwenye njia zao za zamani za kutesa na kuua Waislam, njia za kikatili ambazo kwazo hawakuwahi kuzitumia kabla. Aidha walianza kufanya maandalizi ya kumwua Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>). Kinyume na matarajio yao, njia yao hii mpya na \ufb01kra hii kwa hakika ilisaidia kuimarisha Da&#8217;wa ya Uislamu na ukapata kuungwa mkono kwa kusilimu kwa watu wawili imara na mashujaa wa Makka, nao ni <span style=\"color: #ff6600;\">Hamza bin Abdul Muttwalib<\/span> na \u2019<span style=\"color: #ff6600;\">Umar bin Al-Khattab<\/span> (Radhi za Allah ziwe juu yao).<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">Utayba bin Abi Lahab<\/span> alikwenda kwa Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) na akampigia ukelele kwa ufedhuli na kwa sauti kali, akisema<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\">\u064a\u0627 \u0645\u062d\u0645\u062f \u0625\u0646\u064a \u0643\u0627\u0641\u0631 \u0628\u0627\u0644\u0646\u062c\u0645 \u0625\u0630\u0627 \u0647\u0648\u0649 \u0648\u0628\u0627\u0644\u0630\u064a \u062f\u0646\u0627 \u0641\u062a\u062f\u0644\u0649<\/span><\/p>\n<p>Ewe Muhammad mimi namkufu kwa yule alitemsha (Naapa kwa nyota zinapoanguka, na kisha akakurubia (kwa Mtume) na akateremka&#8221; &nbsp;(53:8). Kwa maneno mengine: \u201dSiamini chochote ndani ya Qur&#8217;an.&#8221;<br \/>\nKisha&nbsp; akaanza kumfanyia ufedhuli Muhammad (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>), akamshika kwa shari, akampasulia shati lake, na akamtemea mate, lakini hayaku\ufb01kia uso Mtakatifu wa Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>). Wakati huo huo Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) aliomba ghadhabu ya Allah imwangukie &#8216;Utayba. Akaomba dua ifuatayo:<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><span style=\"color: #008000;\"> \u0627\u0644\u0644\u0647\u0645 \u0633\u0644\u0637 \u0639\u0644\u064a\u0647 \u0643\u0644\u0628\u0627\u064b \u0645\u0646 \u0643\u0644\u0627\u0628\u0643<\/span><\/p>\n<p><span style=\"color: #0000ff;\">&#8220;Ewe Mwenyezi Mungu msaliti naye mbwa katika mbwa wako.&#8221;<\/span><br \/>\nMwenyezi Mungu (s.w.t) Aliijibu dua ya Muhammad (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>). Yafuatayo yalitokea Siku moja \u2018Utayba akiwa na w\u00e9nzake miongoni mwa Makuraishi walikuwa wanaelekea Syria na walilala Az-Zarqa. Simba alilisogelea lile kundi huku \u2019Utayba akiwa na hofu, alikumbuka maneno ya dua ya Muhammad (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) na alisema, \u201dMajonzi kwa ndugu yangu! Kwa hakika huyu simba atanirarua kama Muhammad (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) alivyoomba.<\/p>\n<p>&#8220;Kwa hakika ameniuwa nikiwa Syria wakati yeye yuko Makka.\u201d Simba aliruka kama radi akamnyakua \u2018Utayba kutoka katika kundi la watu na akamkata shingoni na kumwua. (1)<br \/>\nImeripotiwa pia kuwa bazazi mwabudu masanamu katika Makuraishi jina lake <span style=\"color: #ff6600;\">\u2019Uqbah bin Abi Mu&#8217;ait<\/span> siku moja alivyoga shingo ya Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>), alipokuwa amesujudu wakati akisali, mpaka macho yakatokeza nje (2)<\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">Ibn Ishaq<\/span> alielezea kwa urefu juu ya ushahidi wa vitendo vya vyenye dhamira ya kumw\u2018ua Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>). <span style=\"color: #ff6600;\">Abu Jahal,<\/span> adui mkubwa wa Uislamu wakati mmoja aliwahutubia washirika wenzake: \u201dEnyi Makureishi, inaelekea Muhammad amedhamiria ku\u00e9ndelea kuikosoa dini yetu, kuwavunjia heshima mababu zetu, kuidhalilisha njia yetu ya maisha na kuwakashifu miungu wetu. Naapa kwa Iina la Mungu wangu, nitabeba jiwe zito na kumponda nalo Muhammad kichwani, wakati akisujudu ili nikuondoleeni kero. Sijali hatua zitakazochukuliwa na ukoo wake, Banu Abd Manafi. Hadhira ile iliyochanganyikiwa iliafiki mpango ule na wakamshajiisha ayafasiri maneno yake kwa vitendo maridhawa.\u201d<br \/>\nSiku iliyofuata asubuhi, <span style=\"color: #ff6600;\">Abu Iahal<\/span> aliweka mtego akisubiri kuwasili kwa Mtumbe wa Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) kuja kusali. Makuraishi walikuwa ndani ya nyumba ya mkutano wakisubiri khabari.<\/p>\n<p>Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) aliposujudu, <span style=\"color: #000000;\">Abu Jahal<\/span> huku amebeba jiwe kubwa alielekea alipokuwa Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) ili kutimiza lengo lake. Kabla ya kumsogelea Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>), uso wake ulisawajika na mikono yake ilitetemeka na<br \/>\njiwe likadondoka. Wakati huo huo, watu waliokuwa wakitizama walikuja haraka na kutaka kujua kilichotokea. Aliwajibu, \u201dAlinisongeleaa, ngamia-dume mwenye umbile lisilo la kawaida akifuatana na mbwa wanaotisha walikatiza mbele yangu na karibu wanitafune.\u201d<br \/>\n<span style=\"color: #ff6600;\">Ibn Ishaq<\/span> amesema, maelezo ya Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) kuhusu kadhia hii, ni, \u201cYule alikuwa Jibril (Alayhi Assalam) na Iau Abu Jahal angesogea karibu zaidi, angeumwa \u201d(3)<br \/>\nFikra ya Makuraishi ya kutaka kumwua Mtume (s.a.w) haikuwahi kutoweka katika nyoyo zao.<\/p>\n<p>Ibn Ishaq amepokea kutoka kwa Abdillah bin Amri bin Al \u2018As (La), kuwa alisema:<br \/>\n\u201cNilikuwepo wakati walipokutana baadhi ya Makuraishi katika Al- Hijr, wanamtaja Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) na kusema hatujawahi kuona mfano wa mtu huyu kwa jinsi tulivyomvumilia vitimbi vyake. Kwa hakika tumemvumilia sana. Wakati wakiwa katika mazingira hayo, gha\ufb02a Mtume wa Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) akaingia mahala hapo, akafululiza moja kwa moja mpaka kwenye nguzo iliyokuwemo humo ndani na kuishika, kisha akaanza kuizunguka Al-Ka\u2019aba. Walianza kumkony\u00e9za na kumwambia<br \/>\nmameno ya kejeli, lakini y\u00e9ye hakujibu kitu, kwa mara zate mbili, kisha akawapita tena kwa mara ya tatu, wakamdhihaki tena. Hapo Mtume wa Mwenyezi Mungu (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) alisimama nu kuanza kuwaeleza: <span style=\"color: #0000ff;\">\u201dEnyi Makuraishi, Napa kwa Allah Ambaye Mkononi Mwake ipo roho yangu, kuwa iko siku Mtachinjwa na kukatwa vipande vipande. &#8220;<\/span><\/p>\n<p>Baada ya Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) kutamka neno la kuchinja, wote &#8216;walisimama wamepigwa na butwaa, na wakawa wanazungumza kwa sauti ya kutetema kwa ho\ufb01i huku wakijaribu kutuliza hasira zake na huku wakimfariji kwa kusemar \u2018Unaweza kuondoka Abul-Qasim kwani hujawahi kuwa mpumbavu\u201d.<br \/>\nSiku iliyofuata walikutana na wakaendelea kumsema na mara Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) akatokea, kwa pamoja wakamshika na kumzingira, nilimuona mmoja katika wao akishika nguo yake ilhali, Abubakar (Radhi za Allah ziwe juu yake)-akiwa amesimama nyuma yake na&#8217; hali huku akilia na kusema: <span style=\"color: #0000ff;\">\u201cHivi mnamuua mtu kwa kusema tu kuwa Mala wangu ni Mwenyezi Mungu (Subhna wataala)?.<\/span> Waliposikia kayo wakamzmchia;&nbsp; Bin \u2018Amru akasema, &#8220;Hakika sijawahi kuona adhabu kubwa kama hii waliyompa .\u201d (4)<br \/>\nKatika upokezi wa<span style=\"color: #ff6600;\"> Bukhari<\/span> kutoka kwa <span style=\"color: #ff6600;\">\u2018Urwah bin&#8217; Az- Zubair<\/span> (Radhi za Allah ziwe juu yake) alisemi:&nbsp; \u2019\u201dNilimwu!izn <span style=\"color: #ff6600;\">Amr bin Al Aa&#8217;s<\/span> anieleze jumbo baya kabisa ambalo Mushirikina waliwahi kumfanyia Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>).\u2019 Akasema&nbsp; Ipo siku Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) alikuwa akisali katika kikuta cha Al-Kaaba, gha\ufb02a alitokea &#8220;<span style=\"color: #ff6600;\">Uqba- bin AI-Mu\u2019ait<\/span> akaizungusha ngua yake juu ya shingo ya Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) akijaribu kumnyonga kwa nguvu. Abubakar (Radhia za Allah ziwe juu yake) alitokea na kumkamata bega lake na kuiondaa ile ngua kutoka kafika shingo ya Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) na Akasema: <span style=\"color: #0000ff;\">&#8220;Hivi mnataka kumwua mtu kwa sababu ya kusema tu kuwa Mola wangu ni AIIah.?<\/span> &#8221; (5) &#8216;<br \/>\nNa katika hadithi ya <span style=\"color: #ff6600;\">Asmaa<\/span> inaelezwa: &#8220;&#8216;Akatokea &#8216;mtu kumueleza Abubakar (Radhi za Allah ziwe juu yake) yaliyomsibu sahibu yake, baada ya kusikia hivyo nae akaharakisha na ku\ufb01ka pale alipo Mtume (<span style=\"color: #008000;\">\ufdfa<\/span>) na Akasema: <span style=\"color: #0000ff;\">Unataka kumwua mtu kwa kusema kwake tu kuwa Mala wake : ni Allah .?&#8217;<\/span> &#8221; (6) *<\/p>\n<hr>\n<p><em><span style=\"color: #ff6600;\">&nbsp;1) Tafhiimul Qur&#8217;ani Juzuu 6, Uk 522. Mukhtasar Sira Uk 135<\/span><\/em><\/p>\n<p><em><span style=\"color: #ff6600;\">2) Ibid Uk 113<\/span><\/em><\/p>\n<p><em><span style=\"color: #ff6600;\">3) Ibnu Hisham Juuzu1, Uk 298-299<\/span><\/em><\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">4)<\/span> <em><span style=\"color: #ff6600;\">Ibnu Hisham Juuzu1, Uk 289-290<\/span><\/em><\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">5)<\/span> <em><span style=\"color: #993300;\"><span style=\"color: #ff6600;\">Sahihil Bukhari<\/span><\/span><span style=\"color: #ff6600;\"><em>&nbsp;<\/em>Juuzu1, Uk 544<\/span><\/em><\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">6)<\/span> <em><span style=\"color: #ff6600;\">Mukhtasar Siratu Rrasul<\/span><span style=\"color: #ff6600;\"><em>,<\/em> Uk 133<\/span><\/em><\/p>\n<p><span style=\"color: #ff6600;\">*)<\/span> <em><span style=\"color: #ff6600;\">Arrahiq Al Makhtuum<\/span><span style=\"color: #ff6600;\"><em>, <\/em>Uk 169-173<\/span><\/em><\/p>\n<hr>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>AR-RAHEEQ AL-MAKHTUM Mipango yote ya Makuraishi na njama zao zilishindwa, sasa waliamua kurejea kwenye njia zao za zamani za kutesa na kuua Waislam, njia za kikatili ambazo kwazo hawakuwahi kuzitumia kabla. Aidha walianza kufanya maandalizi ya kumwua Mtume (\ufdfa). Kinyume na matarajio yao, njia yao hii mpya na \ufb01kra hii kwa hakika ilisaidia kuimarisha Da&#8217;wa [&hellip;]<\/p>","protected":false},"author":2,"featured_media":15476,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_acf_changed":false,"give_campaign_id":0,"_bbp_topic_count":0,"_bbp_reply_count":0,"_bbp_total_topic_count":0,"_bbp_total_reply_count":0,"_bbp_voice_count":0,"_bbp_anonymous_reply_count":0,"_bbp_topic_count_hidden":0,"_bbp_reply_count_hidden":0,"_bbp_forum_subforum_count":0,"footnotes":""},"categories":[57],"tags":[],"class_list":["post-15427","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-sera-ya-mtume"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/15427","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=15427"}],"version-history":[{"count":9,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/15427\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":15500,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/15427\/revisions\/15500"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/15476"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=15427"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=15427"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/uongofu.com\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=15427"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}