See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أبي هريرة رضي الله عنه قال : أُتِيَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِرجلٍ قَدْ شرِب خَمْراً قال : « اضْربُوهُ» قال أَبُو هُرَيْرةَ : فمِنَّا الضَّارِبُ بِيدهِ والضَارِبُ بِنَعْله ، والضَّارِبُ بِثوبِهِ . فَلَمَّا انْصَرَفَ قَال بعْضُ الْقَومِ : أَخْزاكَ اللَّه ، قال : « لا تقُولُوا هَكَذا لا تُعِينُوا عليه الشَّيْطان »    رواه البخاري


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema Aliletwa kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu  Mtu ambae alikua amekunywa Pombe Mtume   akasema: [Mpigeni] anasema Abu Hureira: Basi ikawa miongoni mwetu wapo wanaopiga kwa Mikono yao, na wanaopiga kwa Viatu vyao , na wanaopiga kwa Nguo zao. Alipoondoka yule mtu wakasema baadhi ya watu: Mwenyezi Mungu akudhalilishe, Mtume  akawambia [Musiseme hivyo, musimsaidie Sheitani juu yake]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهlogompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

5505597
TodayToday403
Highest 02-12-2020 : 10051
US
Guests 225

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5e4b7e769a6fd19422104551582005878
title_5e4b7e769a7ac15734485181582005878
title_5e4b7e769a8516722774351582005878
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5e4b7e76bfa1111924284861582005878
title_5e4b7e76bfa9e16716340791582005878

HUDUMA MPYA

: 12 + 3 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com