See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه أَنَّ رسول الَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « حقُّ الْمُسْلمِِ عَلَى الْمُسْلِمِ خمسٌ : رَدُّ السَّلامِ ، وَعِيَادَةُ الْمرِيضَ ، واتِّبَاعُ الْجنَائِزِ ، وإِجابة الدَّعوةِ ، وتَشمِيت العْاطِسِ »   متفق عليه
وفي رواية لمسلمٍ : « حق الْمُسْلمِ سِتٌّ : إِذا لقِيتَهُ فسلِّم عليْهِ ، وإِذَا دَعاكَ فَأَجبْهُ ، وَإِذَا اسْتَنْصَحَكَ فَانْصحْ لهُ ، وإِذا عطَس فحمِد اللَّه فَشَمِّتْهُ . وَإِذَا مرِضَ فَعُدْهُ ، وَإِذَا ماتَ فاتْبعهُ


Kutoka kwa Abuu Hurayra (Radhi za Allah ziwe juu yake) kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu  Amesema: [Haki ya Muislamu juu ya Muislamu mwenzake ni tano: Kurudisha salamu, kumzuru mgonjwa, kumfuata jeneza, kuitikia mwaliko na kumwombea Dua aliyepiga chafya (aliyechumua).] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Na katika Riwaya ya Muslim [Haki ya Muislamu ni sita: Unapokutana naye umsalimie, anapokualika umwitikie, anapotaka nasaha mnasihi, anapochemua na akamuhimidi Mwenyezi Mungu (kwa kusema Alhamdulillha) muombee Dua, akiwa mgonjwa mzuru na anapokufa fuata (jeneza lake).] 


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهbibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

4530243
TodayToday9028
Highest 10-10-2019 : 10864
US
Guests 195

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5dacfea68896a11326245671571618470  
title_5dacfea688a4913903125531571618470  
title_5dacfea688b274842685071571618470  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5dacfea6e093a5688001241571618470

HUDUMA MPYA

: 14 + 13 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com