See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن عائشةَ رضي اللَّه عنها قالت : قدِم ناسٌ مِن الأَعْرابِ عَلَى رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، فقالوا : أَتُقبِّلونَ صِبيْانَكُمْ ؟ فقال : « نَعَمْ » قالوا : لَكِنَّا واللَّه ما نُقَبِّلُ ، فقال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « أَوَ أَمْلِكُ إِنْ كَانَ اللَّه نَزعَ مِنْ قُلُوبِكُمْ الرَّحمَةَ»    متفقٌ عليه


Kutoka kwa ‘Aisha (Radhi za Allah ziwe juu yako) aliyesema: walikuja Mabedui kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ, wakasema: “Je, mnawabusu watoto wenu?” Akasema: [Ndio.] Wakasema: “Lakini sisi Wa-Allaahi hatuwabusu.” Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ akasema: [Je, naweza kumiliki ikiwa Mwenyezi Mungu Ameondosha huruma katika nyoyoni mwenu .]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهlogompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6529794
TodayToday2183
Highest 05-30-2020 : 9686
US
Guests 97

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ed6263cd731611008861261591092796
title_5ed6263cd73a69458974291591092796
title_5ed6263cd74129397952431591092796
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ed6263cea91d3329211881591092796
title_5ed6263cea9ac8312924531591092796

HUDUMA MPYA

: 2 + 6 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com