See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي هُريْرَةَ رضي اللَّه عنه قال : قبَّل النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم الْحسنَ ابن عَليٍّ رضي اللَّه عنهما ، وَعِنْدَهُ الأَقْرعُ بْنُ حَابِسٍ ، فقال الأَقْرَعُ : إِنَّ لِي عَشرةً مِنَ الْولَدِ ما قَبَّلتُ مِنْهُمْ أَحداً فنَظَر إِلَيْهِ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فقال : «مَن لا يَرْحمْ لا يُرْحَمْ»   متفقٌ عليه


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yake) Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ alimbusu mjukuu wake Al-Hasan bin ‘Ali (Radhi za Allah ziwe juu yao) Akiwa na Al-Aqra bin Haabis akasema: “Hakika mimi nina watoto kumi sijambusu yeyote miongoni mwao.” Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ alimtazama, kisha akasema: [Asiye na huruma (kwa wenziwe) basi hahurumiwi.]       [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهlogompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6489263
TodayToday4460
Highest 05-19-2020 : 13391
US
Guests 152

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ecfef149bc3d4431621531590685460
title_5ecfef149bd154504392071590685460
title_5ecfef149bdef17274038651590685460
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ecfef14bf4de19076872301590685460
title_5ecfef14bf63620112359331590685460

HUDUMA MPYA

: 10 + 1 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com