See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي أُمَامةَ إِيَاسِ بنِ ثعْلَبَةَ الْحَارِثِيِّ رضي اللَّه عنه أَن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: « مَنِ اقْتَطَعَ حَقَّ امْريءٍ مُسْلمٍ بيَمِينِهِ فَقدْ أَوْجَبَ اللَّه لَه النَّارَ ، وَحَرَّمَ عَلَيْهِ الْجَنَّةَ » فقال رجُلٌ : وإِنْ كَانَ شَيْئاً يسِيراً يا رسولَ اللَّه ؟ فقال : « وإِنْ قَضِيباً مِنْ أَرَاكٍ »  رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Umaamah Iyaas bin Tha’labah Al-Haarithiy Radhi za Allah ziwe juu yake  kwamba Mtume amesema: [Mwenye kuchukua haki ya mtu Muislamu kwa kuapa kiapo cha urongo imewajibika kwa Mwenyezi Mungu kumuingiza motoni na kumharamishia Pepo.] Mtu mmoja akasema: “Hata kikiwa kitu kidogo Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu? Akasema: [Hata kikiwa ni kipande cha Msuwaki.]    [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهlogompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6475591
TodayToday7889
Highest 05-19-2020 : 13391
US
Guests 107

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ecdda559d16821431746191590549077
title_5ecdda559d24e20038975001590549077
title_5ecdda559d3274048168651590549077
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ecdda55c4d3b4119678381590549077
title_5ecdda55c4e0a8380957731590549077

HUDUMA MPYA

: 10 + 14 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com