See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبي الوليدِ عُبَادَةَ بنِ الصَّامِتِ رضي اللَّه عنه قال : « بايعنا رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم على السَّمعِ والطَّاعَةِ في العُسْرِ وَاليُسْرِ والمَنْشَطِ والمَكْرَهِ ، وَعلى أَثَرَةٍ عَليْنَا، وعَلَى أَنْ لاَ نُنَازِعَ الأَمْرَ أَهْلَهُ إِلاَّ أَنْ تَرَوْا كُفْراً بَوَاحاً عِنْدكُمْ مِنَ اللَّه تعالَى فيه بُرهانٌ ، وعلى أن نقول بالحقِّ أينَما كُنَّا لا نخافُ في اللَّه لَوْمةَ لائمٍ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Abul Waliyd ‘Ubadah bin As-Swaamit Radhi za Allah ziwe juu yake Asema: [Tulimbai Mtume wa Mwenyezi Mungu juu ya kusikia na kutii katika Uzito na wepesi, na tukiwa na nishati au tukiwa na uzito na kumti katika hali ya kufadhiliwa (yaani hata ikipelekea kuwafadhilisha wengine juu yatu). Na tusimpokonye mtawala utawala wake  isipokuwa mutapoona ukafiri wa waziwazi ambao mutakuwa na hoja mbele ya Mwenyezi Mungu, na tuseme kweli popote tulipo wala tusiogope kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu lawama ya mwenye kulaumu.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهbibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

4530318
TodayToday9103
Highest 10-10-2019 : 10864
US
Guests 228

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5dacfea68896a11326245671571618470  
title_5dacfea688a4913903125531571618470  
title_5dacfea688b274842685071571618470  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5dacfea6e093a5688001241571618470

HUDUMA MPYA

: 15 + 14 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com