See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنْه أن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إذَا تَوضَّأَ الْعبْدُ الْمُسْلِم ، أو الْمُؤْمِنُ فغَسلَ وجْههُ خرج مِنْ وَجْهِهِ كُلُّ خطِيئةٍ نظر إِلَيْهَا بعينهِ مَعَ الْماءِ ، أوْ مَعَ آخِر قَطْرِ الْماءِ ، فَإِذَا غَسَل يديهِ خَرج مِنْ يديْهِ كُلُّ خَطِيْئَةٍ كانَ بطشتْهَا يداهُ مع الْمَاءِ أَو مع آخِرِ قَطْرِ الْماءِ ، فَإِذَا غسلَ رِجليْهِ خَرجَتْ كُلُّ خَطِيْئَةٍ مشَتْها رِجْلاُه مع الْماءِ أَوْ مع آخِرِ قَطْرِ الْمَاءِ حَتَّى يخْرُج نقِياً من الذُّنُوبِ»   رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah  Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume  Amesema: [Anapotawadha Muislamu au Muumini akaosha uso wake, litatoka katika uso wake kila dhambi alilolitazama kwa jicho lake pamoja na maji au pamoja na tone la mwisho la maji. Atakapoosha mikono yake, litatoka kila dhambi alilolishika kwa mikono yake pamoja na maji au pamoja na tone la mwisho la maji. Atakapoiosha miguu yake, itatoka kila dhambi aliyoiendea kwa miguu yake pamoja na maji au tone la mwisho la maji, mpaka atoke hali ya kuwa ni msafi na hana dhambi.]      [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهlogompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6462731
TodayToday2266
Highest 05-16-2020 : 13987
US
Guests 345

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ecba92be52e38676700251590405419
title_5ecba92be541a2669695311590405419
title_5ecba92be554816938761231590405419
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ecba92c1a84b5747190381590405420
title_5ecba92c1aa0517415031341590405420

HUDUMA MPYA

: 8 + 9 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com