See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي مسعود عُقْبَةَ بن عمروٍ الأنصاريِّ البدريِّ رضي اللَّهُ عنه قال: لمَّا نَزَلَتْ آيةُ الصَّدقَةِ كُنَّا نُحَامِلُ عَلَى ظُهُورِنا. فَجَاءَ رَجُلٌ فَتَصَدَّقَ بِشَيْءٍ كَثِيرٍ فَقَالُوا: مُراءٍ، وجاءَ رَجُلٌ آخَرُ فَتَصَدَّقَ بِصَاعٍ فقالُوا: إنَّ اللَّه لَغَنِيٌّ عَنْ صاعِ هَذَا، فَنَزَلَتْ {الَّذِينَ يَلْمِزُونَ المُطَّوِّعِينَ مِنَ المُؤْمِنِينَ فِي الصَّدَقَاتِ وَالَّذِينَ لاَ يَجِدُونَ إلاَّ جُهْدَهُمْ}  [التوبة 79] الآية.    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Abuu Mas'uwd ‘Uqbah bin ‘Amru Al-Answaariy  Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Ilipoteremka Aya ya Sadaka tulikuwa tukibeba mizigo kwa migongo yetu. (ili wapate na wao chakutoa) Akaja mtu, akatoa sadaka mali nyingi. Wanafiki wakasema: Anajionyesha. Akaja mtu mwingine akatoa sadaka kiasi cha pishi. Wanafiki wakasema: Mwenyezi Mungu hana haja ya pishi la huyu! Ikatermka ka Aya [Wale wanao wabeuwa Waumini wanao toa sadaka nyingi na wasio nacho cha kutoa ila kadri ya juhudi yao, basi huwakejeli. Mwenyezi Mungu atawakejeli wao! Nao watapata adhabu chungu]  [Surat At-Tawbah: 79.]       [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهlogompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6550817
TodayToday6003
Highest 05-30-2020 : 9686
US
Guests 129

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ed95c2cb328d1634439421591303212
title_5ed95c2cb332720806112821591303212
title_5ed95c2cb33be9090116271591303212
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ed95c2cd781712323414801591303212
title_5ed95c2cd78b715304067481591303212

HUDUMA MPYA

: 6 + 9 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com