See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


: عن عائشة رضي اللَّه عنها أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كَان يقُومُ مِنَ اللَّيْلِ حتَّى تتَفطَرَ قَدمَاهُ، فَقُلْتُ لَهُ، لِمْ تصنعُ هذا يا رسولَ اللَّهِ، وقدْ غفَرَ اللَّه لَكَ مَا تقدَّمَ مِنْ ذَنبِكَ وما تأخَّرَ؟ قال: «أَفَلاَ أُحِبُّ أَنْ أكُونَ عبْداً شكُوراً؟»    متفقٌ عليه

هذا لفظ البخاري، ونحوه في الصحيحين من رواية المُغيرة بن شُعْبَةَ


Kutoka kwa ‘Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake : Kwamba Mtume ﷺ alikuwa akisimama usiku (kuswali) mpaka miguu yake ikivimba. Nikamuuliza: mbona unafanya hivi Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu na hali ya kuwa Mwenyezi Mungu Ameshakusamehe dhambi zako zilizotangulia na zitakazokuja? Akajibu: [Kwani sipendelei niwe ni mja mwenye kushukuru?]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهbibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

4490475
TodayToday5510
Highest 10-09-2019 : 16505
US
Guests 118

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5da75167ee8e89581695561571246439  
title_5da75167ee98619189751081571246439  
title_5da75167eea2818235628541571246439  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5da751681f95911926886151571246440

HUDUMA MPYA

: 14 + 2 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com