See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


 رياض الصالحين


عنْ أنسٍ رضيَ اللَّهُ عنه قال : قال : رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ قَالَ يعنِي إذا خَرَج مِنْ بيْتِهِ : بِسْم اللَّهِ توكَّلْتُ عَلَى اللَّهِ ، ولا حوْلَ ولا قُوةَ إلاَّ بِاللَّهِ ، يقالُ لهُ هُديتَ وَكُفِيت ووُقِيتَ ، وتنحَّى عنه الشَّيْطَانُ »  رواه أبو داودَ والترمذيُّ ، والنِّسائِيُّ وغيرُهمِ : وقال الترمذيُّ حديثٌ حسنٌ ، زاد أبو داود : « فيقول : يعْنِي الشَّيْطَانَ     لِشَيْطانٍ آخر : كيْفَ لك بِرجُلٍ قَدْ هُدِيَ وَكُفي وَوُقِى»؟


Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mweneyzi Mungu : [Atakayesema anapotoka Nyumbani kwake. Kwa jina la Mwenyezi Mungu nimemtegea Mwenyezi Mungu, hakuna hila (ya kuepuka maasi) wala nguvu (ya kufanya ‘Ibaada) ila kwa msaada wa Mwenyezi Mungu. Ataambiwa: Umeshaongozwa, umeshatoshelezwa, na umeshakingwa, na shawani hujitenga naye.]  [Imepokewa na Abuu Dawud, na At-Tirmidhiy, An-Nasaaiy na wengineo. At-Tirmidhiy amesema: Hadiyth hii ni Hasan]

na Abuu Dawud ameongezea: [shetani humueleza shatani mwenzie: Utamuwezaje mtu aliyeongozwa, akatoshelezwa na akakingwa?]


logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6487795
TodayToday2992
Highest 05-19-2020 : 13391
US
Guests 124

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ecfaf8f7a7f87630242761590669199
title_5ecfaf8f7a91d10677446361590669199
title_5ecfaf8f7aa31702262851590669199
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ecfaf8fa3071222038811590669199
title_5ecfaf8fa31854613969681590669199

HUDUMA MPYA

: 14 + 4 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com