See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عَنْ أبي ثَابِتٍ ، وقِيلَ : أبي سعيدٍ ، وقِيلَ : أبي الْولِيدِ ، سَهْلِ بْنِ حُنيْفٍ ، وَهُوَ بدرِيٌّ ، رضي اللَّه عنه ، أَن النبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « مَنْ سَأَلَ اللَّهَ ، تعالَى الشِّهَادَة بِصِدْقٍ بَلَّغهُ اللَّهُ مَنَازِلَ الشُّهدَاء ، وإِنْ مَاتَ عَلَى فِراشِهِ »   رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالىKutoka kwa Abuu Thaabit, na inasemekana: Abiy Saiyd, na inasemekana: Abil Waliyd, Sahl bin Hunayf naye ni mpiganaji wa vita vya Badr Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume ﷺ amesema: [Atakayemuomba Mwenyezi Mungu kufa kifo cha shaahid kwa ukweli, Basi Mwenyezi Mungu Atamfikisha daraja za Mashuhadaa hata akifa kitandani mwake.]     [Imepokewa na Muslim]


bibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

4519498
TodayToday6182
Highest 10-09-2019 : 13552
UNKNOWN
Guests 205

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5dab8c27184ee1384167381571523623  
title_5dab8c27185ce6939147231571523623  
title_5dab8c27186a320708106301571523623  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5dab8c278b60517942617621571523623

HUDUMA MPYA

: 5 + 15 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com