See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عنْ أبي سُفْيانَ صَخْرِ بْنِ حَربٍ رضيَ اللَّه عنه . في حديثِه الطَّويلِ في قِصَّةِ هِرقْلُ ، قَالَ هِرقْلُ : فَماذَا يَأْمُرُكُمْ يعْني النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ أَبُو سُفْيَانَ: قُلْتُ : يقول « اعْبُدُوا اللَّهَ وَحْدَهُ لا تُشرِكُوا بِهِ شَيْئاً ، واتْرُكُوا ما يَقُولُ آباؤُكُمْ ، ويَأْمُرنَا بالصَّلاةِ والصِّدقِ ، والْعفَافِ ، والصِّلَةِ » .   متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالىKutoka kwa Abuu Sufyaan, Swakhr bin Harb Radhi za Allah ziwe juu yake  amehadithia katika Hadithi yake ndefu katika kisa cha Hiraqli (Heraclius). Hiraqli akauliza: Anawaamrisha nini? Akikusudia Mtume ﷺ nikasema: Anatuambia: [Muabuduni Mwenyezi Mungu Mmoja Pekee wala msimshirikishe kwa chochote. Na muwache walivyokuwa wakisema baba zenu.] Na akituamuru kuswali, kusema kweli, kujiepusha na machafu na kuunga undugu.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6866322
TodayToday9291
Highest 07-03-2020 : 12663
US
Guests 166

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5f0101beae7e08703279341593901502
title_5f0101beae9237715307841593901502
title_5f0101beaea2b3990776501593901502
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5f0101bed50bd15124637071593901502
title_5f0101bed51cb14335575551593901502

HUDUMA MPYA

: 13 + 11 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com