See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وَعن أبي يحْيَى أُسَيْدِ بْنِ حُضَيْرٍ رضي اللَّهُ عنهُ أَنَّ رَجُلاً مِنَ الأَنْصَارِ قال : يا رسولَ اللَّهِ أَلا تَسْتَعْمِلُني كَمَا اسْتْعْملتَ فُلاناً وفلاناً فَقَالَ :    « إِنَّكُمْ سَتَلْقَوْنَ بَعْدي أَثَرَةً فاصْبِرُوا حَتَّى تلقَوْنِي علَى الْحوْضِ »    متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالىKutoka kwaAbuu Yahyaa, Usayd bin Hudhwayr  Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:Kwamba Mtu mmoja katika Answaari alimwambia Mtume : “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, mbona hunifanyi kuwa kiongozi kama ulivyomfanya fulani?” Akamwambia: [Hakika baada yangu mtaona ubinasfi, basi subirini mpaka mkutane nami katika hodhi.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


bibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

4530206
TodayToday8991
Highest 10-10-2019 : 10864
US
Guests 123

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5dacfb20e3af611876892391571617568  
title_5dacfb20e3bb217075319081571617568  
title_5dacfb20e3c756770658111571617568  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5dacfb211861819827814741571617569

HUDUMA MPYA

: 14 + 4 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com