See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعَنْ أَنَسٍ رضي اللَّهُ عنه قال : قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « لا يتَمنينَّ أَحدُكُمُ الْمَوْتَ لِضُرٍّ أَصَابَهُ ، فَإِنْ كَانَ لا بُدَّ فاعلاً فليقُل : اللَّهُمَّ أَحْيني ما كَانَت الْحياةُ خَيراً لِي وتوفَّني إِذَا كَانَتِ الْوفاَةُ خَيْراً لِي »   متفق عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالىKutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake  amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: [Asitamani mmoja wenu mauti kwa sababu ya madhara yaliyompata, akiwa hana budi ila atamani, basi aombe: Ewe Mola, Nihuishe madamu kuishi kuna kheyi kwangu, na Unifishe iwapo kufa ni kheri kwangu.]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

5510911
TodayToday5717
Highest 02-12-2020 : 10051
US
Guests 246

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5e4c3cfb1740815618508931582054651
title_5e4c3cfb174706653202711582054651
title_5e4c3cfb1750012709480651582054651
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5e4c3cfb396a99831781951582054651
title_5e4c3cfb398344738749271582054651

HUDUMA MPYA

: 10 + 4 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com