See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


- وَعنْ أَبي سَعيدٍ وأَبي هُرَيْرة رضي اللَّه عَنْهُمَا عن النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ : «مَا يُصِيبُ الْمُسْلِمَ مِنْ نَصَبٍ وَلاَ وَصَبٍ وَلاَ هَمٍّ وَلاَ حَزَن وَلاَ أَذًى وَلاَ غمٍّ ، حتَّى الشَّوْكَةُ يُشَاكُها إِلاَّ كفَّر اللَّه بهَا مِنْ خطَايَاه »    متفقٌ عليه
و« الْوَصَب » : الْمرضُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالىKutoka kwa Abuu Sa’iyd na Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yao wamepokea kutoka kwa Mtume ﷺ kuwa amesema: [Muislamu hatopatwa na tabu, wala maradhi, wala hamu, wala huzuni, wala udhia, wala ghamu (sononeko) hata akichomwa na mwiba, isipokuwa Allaah Humfutia madhambi yake kwa sababu ya (matatizo) hayo.]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6487866
TodayToday3063
Highest 05-19-2020 : 13391
US
Guests 143

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ecfb3143d00715175017441590670100
title_5ecfb3143d11190196061590670100
title_5ecfb3143d2151724506501590670100
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ecfb3146077c12240239281590670100
title_5ecfb314608309569612311590670100

HUDUMA MPYA

: 10 + 6 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com