See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


- وعنْ أَنسٍ رضِيَ الله عنْهُ قَالَ : لمَّا ثقُلَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم جَعَلَ يتغشَّاهُ الكرْبُ فقَالتْ فاطِمَةُ رَضِيَ الله عنْهَا : واكَرْبَ أبَتَاهُ ، فَقَالَ : « ليْسَ عَلَى أبيك كرْبٌ بعْدَ اليَوْمِ » فلمَّا مَاتَ قالَتْ : يَا أبتَاهُ أَجَابَ ربّاً دعَاهُ ، يا أبتَاهُ جنَّةُ الفِرْدَوْسِ مأوَاهُ ، يَا أَبَتَاهُ إِلَى جبْريلَ نْنعَاهُ ، فلَمَّا دُفنَ قالتْ فاطِمَةُ رَضِيَ الله عَنهَا : أطَابتْ أنفسُكُمْ أَنْ تَحْثُوا عَلَى رسُول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم التُّرابَ ؟     روَاهُ البُخاريُّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالىKutoka kwa Anas bin Maalik Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume : alipozidiwa Mtume na uchungu wa Mauti akawa anapata shida (kwa sababu ya uchungu), Faatimah Radhi za Allah ziwe juu yake  akasema: “Ee uchungu gani unaomshika baba yangu.” Mtume akasema: [Hatopata tena shida Baba yako baada ya leo.] Alipofariki (Mtume ) Faatimah Radhi za Allah ziwe juu yake akasema: “Ewe baba yangu ameitika wito wa Mola wako! Ewe baba yangu Jannah ya Al-Firdaws ndio mashukio yako. Ewe baba yangu! Kwa Jibril tunamuombeleza!” Na Alipozikwa, Fatwima alisema: [Nyoyo zenu zimeridhika kwa kumiminia mchanga Mtume wa Mwneyezi Mungu ?]     [Imepokewa na Bukhari]


bibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

4519512
TodayToday6196
Highest 10-09-2019 : 13552
UNKNOWN
Guests 245

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5dab8c27184ee1384167381571523623  
title_5dab8c27185ce6939147231571523623  
title_5dab8c27186a320708106301571523623  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5dab8c278b60517942617621571523623

HUDUMA MPYA

: 13 + 10 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com