See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وَعَنْ أبي يَحْيَى صُهَيْبِ بْنِ سِنَانٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ : قَالَ رَسُولُ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «عَجَباً لأمْرِ الْمُؤْمِنِ إِنَّ أَمْرَهُ كُلَّهُ لَهُ خَيْرٌ ، وَلَيْسَ ذَلِكَ لأِحَدٍ إِلاَّ للْمُؤْمِن : إِنْ أَصَابَتْهُ سَرَّاءُ شَكَرَ فَكَانَ خَيْراً لَهُ ، وَإِنْ أَصَابَتْهُ ضَرَّاءُ صَبَرَ فَكَانَ خيْراً لَهُ »  رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abuu Yahyaa, Swuhayb bin Sinaan Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:  Amesema Mtume wa Mwenyezi mungu : [Ajabu kwa jambo la Muumini; hakika mambo yake yote ni kheri, wala hakuna anayepata hilo isipokuwa Muumini pekee; akipatwa na furaha hushukuru ikawa ni kheri kwake, na akipatwa na madhara husubiri basi ikawa ni kheri kwake.]       [Imepokewa na Muslim]


bibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

4530208
TodayToday8993
Highest 10-10-2019 : 10864
US
Guests 133

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5dacfb20e3af611876892391571617568  
title_5dacfb20e3bb217075319081571617568  
title_5dacfb20e3c756770658111571617568  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5dacfb211861819827814741571617569

HUDUMA MPYA

: 13 + 7 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com