See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


RIYADHU  


وَعَنْ أبي سَعيدٍ بْن مَالِك بْن سِنَانٍ الخُدْرِيِّ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا أَنَّ نَاساً مِنَ الأنصَارِ سَأَلُوا رَسُولَ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فأَعْطاهُم ، ثُمَّ سَأَلُوهُ فَأَعْطَاهُمْ ، حَتَّى نَفِد مَا عِنْدَهُ ، فَقَالَ لَهُمْ حِينَ أَنَفَقَ كُلَّ شَيْءٍ بِيَدِهِ : « مَا يَكُنْ مِنْ خَيْرٍ فَلَنْ أدَّخِرَهُ عَنْكُمْ ، وَمَنْ يسْتعْفِفْ يُعِفَّهُ الله وَمَنْ يَسْتَغْنِ يُغْنِهِ اللَّهُ ، وَمَنْ يَتَصَبَّرْ يُصَبِّرْهُ اللَّهُ . وَمَا أُعْطِىَ أَحَدٌ عَطَاءً خَيْراً وَأَوْسَعَ مِنَ الصَّبْرِ »    مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالىKutoka kwa Abuu Saiyd, Sa’ad bin Maalik bin Sinaan Al-Khudriy Radhi za Allah ziwafikie wao wawili amesema: "Watu fulani miongoni mwa Answaar walimuomba Mtume , naye akawapa, kisha wakamuomba tena, naye akawapa mpaka akamaliza chote alichokuwa nacho. (kisha) Akawaambia baada ya kuwa ameshatoa kila kitu: [Kheri yoyote niliyonayo siwezi kuwanyima, mwenye kujizuia kuomba Mwenyezi Munga Atamlipa kwa kutoomba, mwenye kutosheka basi na Mwenyezi Mungu Atamtosheleza zaidi, na Atakae jisubirisha basi na Mwenyezi Mungu Atamzidishia subira. Hakuna yoyote yule aliyepewa zawadi bora na iliyokunjufu zaidi kulikoni subira.]        [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

5599268
TodayToday2444
Highest 02-20-2020 : 11712
US
Guests 221

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5e579586b983b734409811582798214
title_5e579586b98ce18863254861582798214
title_5e579586b995c3085637711582798214
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5e579586dfb091575133441582798214
title_5e579586dfb984609919921582798214

HUDUMA MPYA

: 5 + 3 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com