See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعن أبي بَكْرَة نُفيْعِ بْنِ الْحارِثِ الثَّقفِي رَضِي الله عنه أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: «إِذَا الْتقَى الْمُسْلِمَانِ بسيْفيْهِمَا فالْقاتِلُ والمقْتُولُ في النَّارِ» قُلْتُ : يَا رَسُول اللَّهِ ، هَذَا الْقَاتِلُ فمَا بَالُ الْمقْتُولِ ؟ قَال: «إِنَّهُ كَانَ حَرِيصاً عَلَى قَتْلِ صَاحِبِهِ»       متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالىKutoka kwa Abu Bakra Nufayi Binul Haarith Athaqafiy Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake kwamba Mtume  amesema: [Waislau wawili wakipigana kwa panga zao, basi Muuwaji na aliyeuliwa wataingia Motoni.] Nikauliza Ewe Mtume wa Mungu huyu aliyeuwa (ni sawa kuingia motoni) je Aliyeuliwa? Akasema [Yeye alikuwa na hamu ya kumuuwa mwenzie]    [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6465532
TodayToday5067
Highest 05-16-2020 : 13987
US
Guests 242

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ecc282702dbb8655730741590437927
title_5ecc282702e547052318841590437927
title_5ecc282702ee215785447411590437927
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ecc28272414017400224791590437927
title_5ecc2827241d517464245141590437927

HUDUMA MPYA

: 5 + 9 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com