See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعَنْ أبي مُوسَى عبْدِ اللَّهِ بْنِ قَيْسٍ الأَشعرِيِّ رضِي الله عنه قالَ: سُئِلَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم عَنِ الرَّجُلِ يُقاتِلُ شَجَاعَةً ، ويُقاتِلُ حَمِيَّةً ويقاتِلُ رِياءً ، أَيُّ ذلِك في سَبِيلِ اللَّهِ؟ فَقَالَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ قاتَلَ لِتَكُون كلِمةُ اللَّهِ هِي الْعُلْيَا فهُوَ في سَبِيلِ اللَّهِ »     مُتَّفَقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abu Musa Al Ash'ary Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake Amesema: Aliulizwa Mtumekuhusu mtu anaepigana kwa ajili ya kuambiwa ni shujaa,na anaepigana kwa ya kabila,na anaepigana kwa ajili ya ria (kujionyesha) ni yupi katika hao ambae yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu ? Akasema Mtume   [Anaepigana kwa ajili ya neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo ndie yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu.]      [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6487575
TodayToday2772
Highest 05-19-2020 : 13391
US
Guests 135

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ecfa4f8b1a607601032601590666488
title_5ecfa4f8b1b375630192561590666488
title_5ecfa4f8b1bff19947010621590666488
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ecfa4f8d8c8a18799696301590666488
title_5ecfa4f8d8d337094679481590666488

HUDUMA MPYA

: 11 + 8 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com