See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعن أبي عبد الله جابر بن عبد الله الأنصاري - رضي الله عنهما - قال: كنا مع النبي صلي الله عليه وسلم في غزاة فقال: [إن بالمدينة لرجالاً ما سرتم مسيراً ولا قطعتم وادياً إلا كانوا معكم؛ حبسهم المرض] وفي رواية:  [إلا شركوكم في الأجر]                  رواه مسلم

 

ورواهُ البُخَارِيُّ  عَنْ أَنَسٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ :رَجَعْنَا مِنْ غَزْوَةِ تَبُوكَ مَعَ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَقَالَ: "إِنَّ أَقْوَامَاً خلْفَنَا بالمدِينةِ مَا سَلَكْنَا دشِعْباً وَلاَ وَادِياً إِلاَّ وَهُمْ مَعَنَا ، حَبَسَهُمْ الْعُذْرُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالىKutoka kwa Jabir bin Abdillah Al Answary radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao amesema: Tulikuwa pamoja na Mtume katika vita fulani akasema: [Hakika Madina kuna watu ambao nyinyi hamukwenda mwendo wowote, wala hamukupita jangwa lolote isipokuwa wao wako na nyinyi, wamezuiliwa na ugonjwa" na katika Riwaya ngine Amesema [Isipokuwa wameshirikiana nanyi katika Ujira]  [Imepokelewa na Muslim]

Na amepokea Imamu Al Bukhari Kutoka kwa Anas radhi za Allah ziwe juu yake asema:

Tulirudi kutoka katika vita vya Tabuuk pamoja na Mtume akasema: [Hakika kuna watu nyuma yetu Madina hatukufuata njia ya mawe wala jangwa ila wao wako pamoja nasisi ,wamezuiliwa na udhuru].


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAMlogompya


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6529736
TodayToday2125
Highest 05-30-2020 : 9686
US
Guests 296

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ed622b6c3e9e17582198221591091894
title_5ed622b6c3f2d16896820471591091894
title_5ed622b6c3fc120895926101591091894
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ed622b6ea1b719020435581591091894
title_5ed622b6ea2716713062941591091894

HUDUMA MPYA

: 9 + 3 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com