See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

الحديث الثامن والعشرون


maxresdefault 2


"أوصيكم بتقوى الله وحسن الخلق"

عن أبي نَجيحٍ الْعِرْباضِ بنِ سارِيَةَ رضي اللهِ عنه قال: وَعَظَنَا رسولُ اللهِ صلى الله عليه وسلم مَوْعِظَةً وَجِلَتْ مِنها الْقُلُوبُ، وذَرَفَتْ منها الْعُيُونُ، فَقُلْنا: يا رسول اللهِ، كأَنَّهَا مَوْعِظَةُ مُوَدِّعٍ، فأَوْصِنا. قال
أُوصِيكُمْ بِتَقْوَى اللهِ عَزَّ وَجَلَّ، والسَّمْعِ والطَّاعَةِ، وإن تَأَمَّرَ عَلَيْكُمْ عَبْدٌ، فإنَّهُ مَنْ يَعِشْ مِنْكُمْ فَسَيَرَى اخْتِلافاً كَثِيراً، فَعَليْكُمْ بِسُنَّتي وسُنَّةِ الخُلفَاءِ الرَّاشِدِينَ المَهْدِيِّينَ، عَضُّوا عَلَيْها بالنَّواجِذِ، وإيَّاكُمْ ومُحْدَثاتِ الأُمُورِ، فإنَّ كلَّ مُحْدَثَةٍ بِدْعَةٌ وَ كُلَّ بِدْعَةٍ ضَلاَلَةٌ وَكُلَّ ضَلاَلَةٍ فِي النَّارِ
رَوَاهُ أَبُو دَاوُدَ ، وَاَلتِّرْمِذِيُّ وَقَالَ: حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ


 HADITHI YA  28


KUJILAZIMISHA NA SUNNA ZA MTUME NA SUNNA ZA MAKHALIFA WAONGOFU


Kutoka kwa Abu Najiih Al 'Irbaadh Ibn Saariyah Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema kwamba:

Mtume  alituhutubia hutuba ambayo nyoyo zetu zilijaa hofu na macho yetu yalitutoka machozi. Tukasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu!, inaonyesha kama kwamba hii ni hutuba ya kuaga, kwa hivyo tuusie. [Akasema (Mtume ) nakuusieni kumcha Mwenyezi Mungu na kumtii kiongozi wenu hata akiwa mtumwa. Yule atakayeishi (muda mrefu) ataona ikhtilaaf nyingi , kwa hivyo fuateni mwendo wangu  na mwendo wa Makhalifa walioongoka (Makhalifa wanne). Shikamaneni nazo kwa magego (kwa nguvu). Na tahadharini na mambo mapya yanayozuliwa kwani kila jambo jipya ni uzushi, na kila uzushi ni upotofu, na kila upotofu unapeleka motoni.]

[Imepokelewa na Abu Dawuud na At Tirmidhi na wamesema ni Hadithi Hasan na Sahihi.]


bibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

4279413
TodayToday3051
Highest 09-18-2019 : 6071
US
Guests 359

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5d84e404e00eb1838917731568990212  
title_5d84e404e01d55573173871568990212  
title_5d84e404e026816326734321568990212  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5d84e4050d1701539623781568990213

HUDUMA MPYA

: 6 + 9 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com