See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

SOMO LA FIQHI


ZAKA FITRI


WAKATI WA KUTOLEWA ZAKA 

Wakati bora wa kutoa zaka za fitri ni kutoa siku ya idd baada ya kutokeza kwa alfajiri na kabla ya swala ya Idd, na yaruhusiwa kutanguliza kuitoa kwa siku moja au siku mbili kabla siku ya Idd; kwa utkelazaji wa maswahaba. Wala haifai kuichelewesha hadi baada ya swala ya Idd, kwa Hadith ya Ibn Umar radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume 

 

[أن النبي صلى الله عليه وسلم أمر بزكاة الفطر أن تؤدى قبل خروج الناس إلى الصلاة]

 

[Ameamrisha Zaka za Fitri na zitolewe kabla ya watu kutoka kuswali (Iddi)]

Na katika Hadith ya Ibn Abbas Radhi za Allah ziwe juu yake: Amesema Mtume

 

من أداها قبل الصلاة فهي زكاة مقبولة، ومن أداها بعد الصلاة فهي صدقة من الصدقات]     رواه أبوداود]

 

[Atakayeitoa kabla ya swala basi ni Zaka inayokubaliwa, na atakayeitoa baada ya swala basi ni sadaka miongoni mwa sadaka]    [Imepokelewa na abi daud.]


logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

5967223
TodayToday1685
Highest 04-08-2020 : 8638
US
Guests 129

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5e902f8f1d9801720234511586507663
title_5e902f8f1da487212027881586507663
title_5e902f8f1daff3128329281586507663
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5e902f8f4e3b710646332201586507663
title_5e902f8f4e48113475563761586507663

HUDUMA MPYA

: 10 + 3 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com