See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

SOMO LA FIQHI


Zakati za fitr


MAANA YA ZAKA ZA FITRI
Zaka ya fitri
Zaka aliyoifaradhisha Mtume wakati wa kufungua katika kumalizika kwa mwezi wa Ramadhan.

Na imeitwa Zaka ya fitri kwasababu inawajibika pale mtu anapofungua kwa kumalizika mwezi wa Ramadhani.

 

HUKMU YA ZAKA YA FITRI 

Zaka ya Fitri ni lazima kwa kila Muislamu anayemiliki siku ya Idi na usiku wake pishi ya chakula cha ziada ya chakula chake cha siku na cha familia yake (nayo ni karibia kilo mbili na nusu).

Na yamlazimu mwenye kutoa Zaka ajitole Zaka nafsi yake, na mke wake, na wale ambao ni jukumu lake kuwalisha, hata mtoto alioko kwenye tumbo la mamake. Na dalili ya kuwajibika kwake ni ilivyopokewa kutoka kwa  Ibn Umar radhi za Mwenyezi Mungu zimfikie asema:

 

فرض رسول الله صلى الله عليه وسلم زكاة الفطر من رمضان صاعاً من تمر، أو صاعاً من شعير على العبد والحر، والذكر والأنثى، والصغير والكبير من المسلمين

[Amefaradhisha Mtume ﷺ Zaka ya Fitri Mwezi wa Ramadhani Pishi moja ya tende, au Pishi moja ya Shayir (aina ya nafaka) kwa mtumwa na muungwana, na mume na mke, na mdogo na mkubwa katika waislamu.]  [Imepokewa na bukhari na muslim.]


logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

5967100
TodayToday1562
Highest 04-08-2020 : 8638
US
Guests 128

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5e902c0765d7717103450591586506759
title_5e902c0765e1512489777711586506759
title_5e902c0765ecc5490849211586506759
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5e902c078dadd8243013171586506759
title_5e902c078dbe91393264951586506759

HUDUMA MPYA

: 5 + 1 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com