See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

KITAAB AT-TAWHIID


kitabu tawhid


باب (12) من الشرك: الاستعاذة بغير الله

وقول الله تعالى: {وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِنَ الْأِنْسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقاً} سورة الجن: 6

وعن خولة بنت حكيم قالت: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: [من نزل منْزلا فقال: أعوذ بكلمات الله التامات من شر ما خلق، لم يضره شيء حتى يرحل من منْزله ذلك]     رواه مسلم
:فيه مسائل
الأولي: تفسير آية الجن
الثانية: كونه من الشرك
الثالثة: الاستدلال على ذلك بالحديث، لأن العلماء يستدلون به على أن كلمات الله غير مخلوقة. قالوا: لأن الاستعاذة بالمخلوق شرك
الرابعة: فضيلة هذا الدعاء مع اختصاره
الخامسة: أن كون الشيء يحصل به منفعة دنيوية، من كف شر أو جلب نفع، لا يدل على أنه ليس من الشرك


MLANGO WA 12 NI KATIKA USHIRIKINA KUOMBA KINGA KWA ASIYEKUWA MWENYEZI MUNGU 


Na kauli ya Mwenyezi Mungu:

[Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.]  [Surat Al-Jinn: 6]

Imepokelewa kutoka kwa Khawlah bint Hakiym (Radhi za Allah ziwe juu yake) Amesema: Nimemsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ akisema: [Atakayefikia mahali kisha akasema: A’uwdhu bikalimati-LLaahit-taammati min sharri maa Khalaq' "Najilinda kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia na shari ya Alichokiumba" hakuna kitakachomdhuru hadi atakapoondoka mahali pake hapo]    [Imepokewa naMuslim]

Masuala Muhimu Yaliyomo:

1. Tafsiri ya Aya katika Suwratul-Jinn.

2. Kuwa Kuomba ulinzi kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu  ni shirki.

3. Kutolea ushuhuda juu ya hilo kwa Hadithi, kwa sababu Wanachuoni wanathibitisha kuwa maneno ya Mwenyezi Mungu Mtukufu (yaani Qur’aan) kwa sababu kujikinga na Viumbe ni shirki.

4. Fadhila ya Du’a hii japokuwa ni fupi.

5. Kupata Manufaa ya kiduna Juu ya kitu, kama kuzuia Madhara au kupata Manufaa, hilo Halimanishi kuwa jamabo hilo si shirki.


bibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

4560571
TodayToday8291
Highest 10-22-2019 : 10683
US
Guests 166

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5db10bbc3d6842932121041571883964  
title_5db10bbc3d71a678317441571883964  
title_5db10bbc3d7a69589590781571883964  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5db10bbc60c553698335701571883964

HUDUMA MPYA

: 9 + 7 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com