See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

 MAANA YA UISLAMU


 original


Ni nini Maana ya Uislamu:

Uislamu ni kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu, na Kunyenyekea kwake kwa kumtii,na Kujiepusha na Shirk, na kuwa mbali na Washirikina.
Dalili ni neon lake Mwenyezi Mungu aliyetukuka:

 

وَمَنْ أَحْسَنُ دِينًا مِّمَّنْ أَسْلَمَ وَجْهَهُ لِلَّهِ وَهُوَ مُحْسِنٌ وَاتَّبَعَ مِلَّةَ إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا ۗ وَاتَّخَذَ اللَّهُ إِبْرَاهِيمَ خَلِيلًا}       النساء:125}

 

"Na nani aliye bora kwa dini kuliko yule aliye usilimisha uso wake kwa Mwenyezi Mungu, naye akawa mwema, na anafuata mila ya Ibrahim mwongofu? Na Mwenyezi Mungu alimfanya Ibrahim kuwa ni rafiki mwendani."     [Al-Nnisaa: 125]

Na neno lake Mwenyezi Mungu aliyetukuka:

 

فَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ فَلَهُ أَسْلِمُوا ۗ وَبَشِّرِ الْمُخْبِتِينَ}      الحج:34}

 

[Basi Mungu wenu ni Mungu Mmoja tu, tuJisalimishieni kwake na wabashirie wanyenyekevu]    [Al-Hajj:34

Na Amesema tena:

وَمَن يُسْلِمْ وَجْهَهُ إِلَى اللَّهِ وَهُوَ مُحْسِنٌ فَقَدِ اسْتَمْسَكَ بِالْعُرْوَةِ الْوُثْقَىٰ}     لقمان:22}

 

"Na mwenye kuuelekeza uso wake kwa Mwenyezi Mungu, naye akawa anafanya wema, basi huyo hakika amekwisha kamata fundo lilio madhubuti."     [Luqman:22]

Na Uislamu ndio Dini ya Mitume wote, Mwenyezi Mungu aliyetukuka anasema:

 

 إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ}       آل عمران:19}

 

[Bila shaka dini (ya haki) mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu]    [ Al-Imran: 19] 

Na amesema tena:

 

وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ}     آل عمران:85}

 

[Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.]    [ Al-Imraan:85]


bibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

3694748
TodayToday3180
Highest 06-07-2019 : 13675
US
Guests 103

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5d08e0dbe478f3004341281560862939  
title_5d08e0dbe482514338198521560862939  
title_5d08e0dbe48b04032928441560862939  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5d08e0dc0e1701767629261560862940

HUDUMA MPYA

: 12 + 5 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com