KUMKUMBUKA MWENYEZI MUNGU WAKATI WA KUPANDA MLIMA NA WAKATI WA KUSHUKA
Imepokelewa kutoka kwa Jaabir amesema: "Tulikuwa tukipanda mlima tunasema:
[اللهُ أَكْـبَر]
[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa]
Na tukishuka tunasema:
[سُبْـحانَ الله]
Ametakasika Mwenyezi Mungu
[imepokewa na Bukhari]
KUMKUMBUKA MWENYEZI MUNGU WAKATI WA KUPANDA MLIMA NA WAKATI WA KUSHUKA
![]() | Today | 3743 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.