DUA YA KUMUOMBEA ALIYEKUFANYIA WEMA
[ جَزَاكَ الله خيراً ]
أخرجه الترمذي رقم 2035
[Mwenyezi Mungu akulipe wema] [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.