See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

KINGA YA MUISLAMU


 dua deni


 

[ اللهم اكفني بحلالك عن حرامك ، وأغنني بفضلك عمن سواك ]

الترمذي 5/560

[Ewe Mwenyezi Mungu nitosheleze mimi na halali yako kutokana na haramu, na unitosheleze kwa fadhila zako nisiwahitaji wengine usio Wewe.]        [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]

[ اللهم إني أعوذ بك من الهم والحزن ، والعجز والكسل ،والبخل والجبن وضلع الدين وغلبة الرجال ]

البخاري7/ 158

[Ewe Mwenyezi Mungu  hakika mimi najilinda kwako kutokana na hamu na huzuni na kutoweza na uvivu na ubakhili na uoga na uzito wa deni na kushindwa na watu.]       [Imepokewa na Bukhari.]


SIKILIZA DUA YA KULIPA DENI


 


logompya


Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6542786
TodayToday6778
Highest 05-30-2020 : 9686
US
Guests 194

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Masomo

title_5ed81ebc847cb4951148731591221948
title_5ed81ebc8485d14315174831591221948
title_5ed81ebc848e912669140851591221948
 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5ed81ebca77fe17929490571591221948
title_5ed81ebca789f7936390741591221948

HUDUMA MPYA

: 4 + 7 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com