See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

KINGA YA MUISLAMU


dua ya shaka


 

[ يستعيذ بالله ]

البخاري مع الفتح 6/336 ومسلم 1/120

[Atataka (aombe) hifadhi ya Mwenyezi Mungu]       [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

 

[ ينتهي عما شك فيه ]

 البخاري مع الفتح 6/336 ومسلم 1/120

[Aondowe kile kitu alichokifanyia shaka]        [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

 

"يقول" آمنت بالله ورسله

 مسلم 1/  119

Kisha aseme [Nimemuamini Mwenyezi Mungu  na mitume yake.]       [Imepokewa na Muslim.]  

 

{يقرأ قوله تعالى { هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ 

 

Kisha asome aya hii katika Qur’ani 

[Yeye ndiye wa Mwanzo na wa Mwisho, na aliye Wazi, na aliyejificha, naye ni mjuzi wa kila kitu.]

[Imepokewa na Abuu Daud.]


DUA ALIYEPATWA NA SHAKA KATIKA IMANI YAKEThis email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it./site1/of.php?'"" data-layout="standard" data-width="100" data-action="like" data-show-faces="false" data-share="false">
// /site1/of.php?'"'> // /site1/of.php?'"' action='share'>

bibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

5274694
TodayToday5921
Highest 01-16-2020 : 8736
US
Guests 77

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5e28d7ace976b16281640151579734956  
title_5e28d7ace98286249243231579734956  
title_5e28d7ace98d4337942661579734956  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

title_5e28d7ad1ab873824897191579734957
title_5e28d7ad1acae12144012661579734957

HUDUMA MPYA

: 11 + 5 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com