See other templatesSee other Balagh Websites

Menu

HUKMU YA KUITIKIA SALAMU KATIKA SEHEMU ZA KUTAWADHIA ZILO KARIBIANA NA CHOO


Swali: Ni ipi hukumu ya kumsalimia mtu akiwa katika sehemu ya kutawadhia ambapo pako karibu na choo?

Jibu: Choo ni sehemu iliokusudiwa kukidhia haja. Kwa sababu ni sehemu mtu anakuwa peke yake na haonekaniwi na watu. Lakini akiwa kandoka yuko sehemu ya kutawadhia basi yafaa kuitikia salamu wala haihisabiwi kuwa yuko chooni hata kama choo kiko karibu na yeye. Vile vile yuwafaa kutoa salamu na kupiga Bismallahi wakati wa kutawadha.

Na Allah ndie mjuzi zaidi.

bibaner


Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

4142286
TodayToday212
Highest 08-04-2019 : 6654
US
Guests 14

Kinga ya Muislamu

11hesn elmuslim

 

Makkah

title_5d5cfa0909a8718422366571566374409  
title_5d5cfa0909b402961093951566374409  
title_5d5cfa0909bf21027662051566374409  

 

 

 

TARJAMA YA AL-MUNTAKHAB

 
title_5d5cfa092b6745901236021566374409

HUDUMA MPYA

: 6 + 15 =

uongofu.com

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com